dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Napatwa na hasira hadi naahindwa kuelewa yaani watu wanatekwa mchana kweupe na kisha kuuwawa alfu waziri yuko na igp wako kimya jamani
Hivi visasi vikianzwa kulipwa wewe utabaki salama au unadhani utakuwa waziri n kiongozi maisha yako yote, waziri mzima Huna huruma na watanzania wana uliwa kinyama upo tu IGP upo tu kweli jamani,kweli jamani, hapana kwa kweli nawaombe mabaya iwapate laaani izunguke kwenye familia zenu.
Na kama hawa wanao uliwa na kuteka tueleze ni kwani nini je wana adhiri vip usalama wa nchi au wamepanga nyama gani tuelezwe tutulie.
Soma Pia: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana