TANZIA Dar: Ali Mohamed Kibao, kiongozi wa CHADEMA auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

View attachment 3091036
Haya ndio mnayoyahubiri huko na kuyafurahia hylayo ya watu kutekwa na kuuawa.
Amejisemea YEYE huko Kagera....

Akueleze wapi alitumwa na UVCCM TAIFA kusema maneno hayo....

Mtu anaweza kujisemea lolote popote AKIAMUA....

Ni sawa na yule askari polisi "mlevi" aliyekuwa anatoa maneno ya hovyo akiwa ulevini na uniform...kwani alitumwa na jeshi kufanya vile ?!![emoji44][emoji44]

Kwani alikuwa analisemea jeshi pale ?!! [emoji44][emoji44]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
UVCCM ni mangali tupu
 
Kama siyachama baada ya kusema hayo chama kililaani na kuhojiwa na vyombo vya dola kwa kauli hiyo?

Hivi chadema aseme mfano wa hayo unafikiri chama kitaachwa au aliyesema hayo ataachwa awepo mitaani?

Yanayoendelea ya wanachadema kutekwa ccm ni wahusika kwa kuwatumia vyombo vya dola.
 
Huku una kebehi....hongera
Lakini nafsi naona iko murwaaa
Sahvi

Ova
infact,
siwezi kubabaika na perception huru ya muungwana yeyote dhidi ya chochote anachodhani juu yangu..

but all ini all, kifo ni fumbo, kifo hakizoeleki, kifo kinatia hofu na kinatisha sana...

ni muongo yeyote yule anajigamba ati hana hofu na wala haogopi kifo coz ukifa ndio umekufa tena.

na actually,
mpaka ufe kwanza na uwe ndani ya hicho kifo, ndio hofu na woga itoweke..
Tuombeane kheri..🐒

R.I.P kamanda Ally Kibao
 
Umeandika pumba sijapata kuona.
We umeamua kufikia malengo ya wanaofanya hivyo vitendo.
Na sasa tambua siasa ni maisha.
Usipofanya siasa utaongozwa na wanaofanya siasa haijalishi ni wajinga au werevu kuliko wewe.
Na utaumia zaidi.
Wewe na uzao wako.
 
Unaona sasa Samia ukiambiwa hawa watu sio wastaarabu Umekazana na 4R żako.

You can’t negotiate with terrorists,

Nyuma ya mambo yote haya ni CDM
Ila wee jamaa aisee. Umenisikitisha sana
Kesho yako si nzuri na naamini ukijitafakari utajiboresha katika kufikiri kwako.
 
Hivi Polisi wao wapo pale kushughulikia Chadema tu. Ina maana hawana ulinzi wa Polisi. Mchicha ulikuwa Mbuyu hatimaye, mama awe mkali na hili la kutekana linatoa symphathy kwa Chadema,wanalenga kumwangusha mama na 4R zake. Mbona Zanzibar ni Shwari lakini!
 

Hujasikia CCM wakisema wao ni serikali, hivyo serikali ni CCM,na hata UVCCM ambao ni CCM nao ni serikali...

Kesi ya ngedere tu hiyo...
 
Lawama hazijengi,,,na mbaya zaidi Lawama Kwa Wakhfuu waliokwisha tangulia ni Lawama mfu ingali yu hai,,walifanya ya kwao Kwa wakti wao mazuri na mabaya walikuwa nayo Kwa kuwa nao si watimilifu kama tulivyo pia,,,Rekebisha wewe sasa kwa nafasi yako pale ulipojaaliwa kuona palikosewa.
 
Binafsi nilitegemea Viongozi wa Dini na Madhehebu wangekuwa mstari wa mbele kupinga Mauaji ya Ally Mohamed Kibao

Lakini imekuwa tofauti Kabisa

Niishie hapo 🐼
 
Kati ya hao uliwataja hapo kuna kundi limesikitika kinafiki mbele ya Umma ila huko ndani kwao ni sherehe
 
Nadhani Waliowengi wanaogopa kutuhumiwa uraia wao! Au wanaogopa kufungiwa huduma za kukamua waumini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…