Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Amejisemea YEYE huko Kagera....View attachment 3091036
Haya ndio mnayoyahubiri huko na kuyafurahia hylayo ya watu kutekwa na kuuawa.
Akueleze wapi alitumwa na UVCCM TAIFA kusema maneno hayo....
Mtu anaweza kujisemea lolote popote AKIAMUA....
Ni sawa na yule askari polisi "mlevi" aliyekuwa anatoa maneno ya hovyo akiwa ulevini na uniform...kwani alitumwa na jeshi kufanya vile ?!![emoji44][emoji44]
Kwani alikuwa analisemea jeshi pale ?!! [emoji44][emoji44]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app