TANZIA Dar: Ali Mohamed Kibao, kiongozi wa CHADEMA auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

Hahaha Sijui nacheka nini ila Hii Nchi hii Kazi ipo
Tuzidi kuiombea tu
 
Si kila kifo ni kifo, vinginevyo ukimatwa kwa kujaribu kujiua utaadhibiwa. Unaua mtu kisha unajisafisha kwa kusema kifo ni kifo huku ukijisifu kwa kutimiza lengo lako la mauaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…