TANZIA Dar: Ali Mohamed Kibao, kiongozi wa CHADEMA auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

CCM KATIKA UBORA WAO HUTUMIA VYOMBO VYA DOLA KUWAKAMATA WANAOWAKOSOA NA KUWAUA ILI WASIPINGWE KWENYE UONGOZI WAO.
 
Daah aisee yaani watu wanadiliki kuteka na kuua na kuupeleka mwili hospital wenyewe harafu bado mpo kimya mnaandika andika tu taarifa mitandaoni bila kuchukua action yeyote mpaka pale mwandishi utakapokutwa Mwananyamala ndio watu wengine watastuka...
 
Kwa nje wanaoteka na hatimae kupatikan watu wakiwa maiti inaweza kuonekana kama watu wenye nia ya kunyamazisha upinzani kwa faida ya chama tawala na raisi aliyepo madarakani.

Kwa uzoefu wangu watu hao ni majambazi ambayo yana nia mbaya na raisi. Wito raisi Samia awe makini sana kipingi hiki kuelekea uchaguzi.
 

Huyu kachukuliwa hatua gani?
 
Haya mafanikio ya kidunia iwe mali,fedha au madaraka yatatufikisha wapi hadi kufikia hatua ya kuuana? Jamani dunia ni mapito tu na tutakavyovichuma vyote tutaviacha hapa hapa duniani.
Mungu mwenyewe aliyetuumba wanadamu wanampinga na kumkosoa itakuwa sisi viumbe dhaifu binadamu?
 
America inatumia vita na migogoro ya kidiplomasia kama chambo Cha kumuondolea uhalali wa Rais aliemadarakani kugombea upili wake!

Huku kwetu tunatumia uhai wa Raia wasio na hatia kumchafua Alie madarakani kwa visingizio mbali mbali!

Naendelea kumuomba Mungu juu ya haya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…