Kingwaba Mazegenuka
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 1,016
- 1,707
Na mwagizaji anasema hayo yote ni drama tu.Hapa issue siyo waziri. Yote haya yanafanyika kwa maagizo toka juu, unategemea waziri atapingana na maagizo hayo??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mwagizaji anasema hayo yote ni drama tu.Hapa issue siyo waziri. Yote haya yanafanyika kwa maagizo toka juu, unategemea waziri atapingana na maagizo hayo??
Ulitakiwa ujiite mpumbavu maana mjinga ana nafuu!Hapana.magufuli ana afadhali.
Idadi ya utekaji ya kipindi cha samia ni KUBWA SANAkuliko kipindi cha magufuli. Huu ukweli tuuseme na tuukubali.wewe hauoni?
Hapo ndipo ushangae sasa. Chief comforter anatoa majibu kama hayo.Na mwagizaji anasema hayo yote ni drama tu.
Kuomba Mungu tusifike huko.Ndugu jamaa na marafiki wa wahanga wakiamuwa kulipa kisasi je tutamlaumu nani?
Kwa nini is iwe mpaka Samia ajiuzuluDkt Samia Suluhu Hassani haya yanayifanyika kwenye nchi hii waona mazuri? Hili halikubaliki siyo kwa mtu mwenye utu uwe CHADEMA, CCM,ACT-WAZALENDO ili jambo ni lakinyama sana.
Kwa nje wanaoteka na hatimae kupatikan watu wakiwa maiti inaweza kuonekana kama watu wenye nia ya kunyamazisha upinzani kwa faida ya chama tawala na raisi aliyepo madarakani.
Kwa uzoefu wangu watu hao ni majambazi ambayo yana nia mbaya na raisi.Wito raisi Samia awe makini sana kipingi hiki kuelekea uchaguzi.
kwa jambo hili namchukia sana mama mwarabu, Mungu aingilie kati jambo hiliKama ni hivyo ???mbona hachukui hatua? orodha ni ndefu sana yeye anasema chura kiziwi