Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kipindi Cha JK watu hawakutekwaMagufuli ndio muasisi wa huu uchafu
Roho imeniuma zaidi kuona spika alikataa huu mjadala bungeni. Namuombea laana huyu mamaNinashauri huo mwili ubebwe kwa maandamano mpaka nyumbani kwa Spika, Waziri wa mambo ya ndani n.k waliosema hakuna utekaji, mmiliki wa hilo basi atafutwe ahojiwe kwanini ameshirikiana na watekaji kumuua abiria? Maandamano ya Nguvu kila kona ndiyo jawabu. Wahusika wafahamike na wawajibishwe!
Na hapa ndio tulipopotoka kama Taifa na nasikitika hata wananchi tushaingia kwenye huu Upuuzi..., Hakuna vijana wa CHADEMA kuna vijana wa Tanzania na Watanzania..., tutakapoendelea kujigawa kwa mafungu sisi wa huku chini tutaendelea kutumika kama madaraja kwenye Siasa....Chadema punguzeni kuandikaaaaa tu na kulaani. Maamuzi magumu yana nafasi kubwa. Mlizuiwa mlikamatwa mkadhihakiwa mkawekwa rumande mkasafirishwa kas kus mashariki na magharibi mpo kimya, vijana wenu wamekamatwa hamjui walipo mpo kutwa kuandika warudisheni,
wafia vyama mnakwama mno. Punguzeni kusifu na kuabudu kama chawa wa jirani.
Watesi wametambua uoga wenu ndio maana haya yanaendelea. Mtaitisha press conference tena then what?
…….na familia so what?
Mabasi ya kisasa yana camera, waliomteka wote wamerekodiwa, ni suala la polisi kuwataja baaasi
Inna Lilah wainna ilahi rajuuni
Bado aiseeUmeshaziona.?
Ila pia mimi naamini Magufuli licha ya kuwa kutiliwa mashaka ya kuhusika na shambulio la Lisu ila haya mengine si amini sana kwa kuwa haya mambo yamekuwepo muda sasa na wash ukiwa ni vyombo vya ulinzi na usalama!Magufuli alisha ustikia huu mchezo.
Kuna kijana CDM Mbeya uchaguzi uliopita walimteka hivi hivi na kumpotezea maisha yake.
Ikabidi Magufuli akaombe msamaha kwa ile familia na kuwapa pole (Lakini hela) aifidii maisha ya mtu.
Chadema na genge lenu la wahusika huko serikalini acheni huu ushenzi. Ushindi aupatikani kwa njia hizi za udhalimu.
R.I..P