Dar: Amiri Jeshi Mkuu rais Samia, Wananchi Waelimishwe umuhimu wa amani na madhara ya kujihusisha na vitendo vya kigaidi

Dar: Amiri Jeshi Mkuu rais Samia, Wananchi Waelimishwe umuhimu wa amani na madhara ya kujihusisha na vitendo vya kigaidi

MoGJh.jpg
 
Jana wakati wa uzinduzi jengo la chuo yule waziri wa ulinzi alianguka kwenye red carpet pwaaa ,tulimwambia hii wizara inahitaji mwanaume ....
Kwa hiyo mwanaume hawezi kuteleza??!!

Kazi ya waziri si kufanya kazi za medani....yeye ni daraja Kati ya JWTZ na serikali.....

Siempre JMT
 
Kwa hiyo mwanaume hawezi kuteleza??!!

Kazi ya waziri si kufanya kazi za medani....yeye ni daraja Kati ya JWTZ na serikali.....

Siempre JMT
Ngoja itokee mission Kama kagera tuone Kama ataenda na skuna
 
Ukiwa Rais tu ni zaidi ya mwanajeshi.....

Hushangai mkuu wa Majeshi ya ulinzi haitwi AMIRI JESHI isipokuwa ni rais tu?!!!!

Siempre SSH💪
Mbona magufuli mlishawahi mfananisha na mungu kwahyo mataga ni kawaida yetu
 
Nimeisoma na kuielewa..

Wewe si umesema "akiwa hana hata chembe ya uwanajeshi"

Sasa Rais si mwanajeshi by default??..

Sent using Jamii Forums mobile app
Hana chembe ya uanajeshi maana yake hana mafunzo wala katika historia yake hakuwahi kuwa mwanajeshi. Ningemuona Kikwete kavaa wala nisingeshaa maana ana historia hiyo
 
Hiyo kufuru sasa.....yaani mtu mmoja aliteleza ulimi usio na mfupa leo iwe fimbo ya kutuchapia sote?!!! 😳😳😳🤣🤣
wala sio kuteleza ulimi tatizo ni njaa zenu za kutaka teuzi ndo zinawafanya mpaka mkufuru
 
Back
Top Bottom