Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Hakika......Jumbe Brown Yehodaya unaongea ujinga mtupu au ni dalili ya kukurupuka,Askofu amesema mwaka jana 2020 waumini wa RC walimwomba Mwenyezi MUNGU chanjo ipatikane na imepatikana,na hvyo anawashauri mapadre wakachome chanjo-Punguza mihemuko
Hivi mhashamu baba Askofu akiona mapadri wanatembelewa na waumini kuhudumiwa hashtuki juu ya usalama wa afya za mapadri ?!!
Hivi Yehodaya hajui kuwa Mapadri ,Madaktari na Manesi wanakutana na watu wengi?!!
Anataka tusiwalinde watumishi hao kwa njia za CHANJO huku tukiendelea kumuomba Mungu ?!!
Kwani tukichoma chanjo ndio hatuendelei kumuomba Mungu atulinde na UVIKO?!!