#COVID19 Dar: Askofu Ruwai’chi aagiza mapadri wote kupata chanjo dhidi ya UVIKO-19

#COVID19 Dar: Askofu Ruwai’chi aagiza mapadri wote kupata chanjo dhidi ya UVIKO-19

Ila wewe nae ni mjinga, aliyekwambia chanjo hii ya Corona inazuia kupata Corona na kuambukiza wengine ni nani?
Acha uzuzu, huwezi kuamua juu ya mwili wa mtu mwingine, especially watu wazima wenye uwezo wa kupambanua na kufanya maamuzi.
Mkuu achana na hilo zwazwa.
 
Ila wewe nae ni mjinga, aliyekwambia chanjo hii ya Corona inazuia kupata Corona na kuambukiza wengine ni nani?
Acha uzuzu, huwezi kuamua juu ya mwili wa mtu mwingine, especially watu wazima wenye uwezo wa kupambanua na kufanya maamuzi.
Una maswali ya kindergarten sana.Ficha ujinga-Mtu aliyechanja anaweza ambukiza wengine.Chanjo inapunguza Risk ya kifo kutokana na CORONA kwa aliyechanja kwa 100percent.Science inataka tuchanje na tuvae barakoa pamoja na kuchukua other precautions ili ku-control transmission sababu majority of the world population ikiwemo wazee bado hawajachanja.Simple as that.
 
wakishapata chanjo unawapa uhakika wa kuishi miaka mingapi ?

aise dunia ina mambo ...
Waabudu sanamu ndiyo zao...Wanasahau uzima wa milele kwa miaka michache ya dunia hii mbaya na iliyojaa uasi
 
Sema tu ni maagizo Toka Roma.
Wewe mwenyewe unajua ukweli hata ukichanjwa Corona itakuua tu.

Wafanyabiashara maarufu waliokufa karibuni kwa nature ya kazi zao,ni ukweli usiopingika kuwa walichanjwa lakini Israel amewapitia.
Hawawezi kukuamini...
 
nilichogundua ni kuwa mtu ukisha_chanjwa inakuwa syo akili yako

nina rafika angu kachanja kila kukichi ananilazimisha kuchanja ni kama convincing power wanapata pengine ndo mnyama mwenyew
Wanakuwa na self denial...Wanatamani tuwe wengi ili hata likitokea chakutokea basi tuwemo wengi....
 
Huyu baba ni yule ambae aliumwa na kufanyiwa upasuaji wa kichwa?
Mkono wa Mwenyezi MUNGU ukuelemee wewe na familia yako.Amina

"Hii itakusaidia kuelewa kwamba,ugonjwa haudhihakiwi kwa namna yeyote licha ya tofauti za kibinadamu"
 
Mkono wa Mwenyezi MUNGU ukuelemee wewe na familia yako.Amina

"Hii itakusaidia kuelewa kwamba,ugonjwa haudhihakiwi kwa namna yeyote licha ya tofauti za kibinadamu"

Wee nae ?! [emoji14][emoji14]

Umekurupuka!

Hayanifiki abadan kamwe daima dumu [emoji108][emoji108]

Nimeuliza swali sincerely badala ya kunijibu una kurupuka kulaani?!

Wee vipi?! [emoji3][emoji3]

Imeandikwa; “ laana isiyo na sababu haimpati mtu”

Ondoa mtazamo hasi!
 
Hii ngoma inayopigwa ni wachache wanaojua inavyochezwa hususani imaya ya vatcani
 
Kwa hiyo kama chanjo ni hiari,inampa mtu hiyari ya kuambukiza wengine? wewe ulichanja polio kwa hiari? Rubbish
Sio watu wote huzaliwa hospital, Kuna jamii Kama za wamasai, wasandawe ,wahdzabe n.k hawajui hospital ikoje
Watoto wao huzaliwa nyumbani na hawajui hata hizo chanjo za polio zikoje
 
Kuingilia utashi wa mtu binafsi kwenye kanisa ni ruksa? suppose padre kutokana na utashi wake hataki kuchanja, je, askofu yupo tayari kumfukuza kazi huyo padre......wajuvi tuwekeeni udadavuzi.
 
Wewe njoo na ID hata 10,lakini wewe bado ni rubbish
Jitahidi kuwa mvumilivu mkuu, kama mtu akitukana achana nae. Ni kawaida ya mwanadam kuwa na subjective instinct hata mwendazake alikuwa subjective sana ndo maana alichukia hata waliokuwa wanamuelekeza na waliposoma upepo wakageuka vikaragosi
 
Kuingilia utashi wa mtu binafsi kwenye kanisa ni ruksa? suppose padre kutokana na utashi wake hataki kuchanja, je, askofu yupo tayari kumfukuza kazi huyo padre......wajuvi tuwekeeni udadavuzi.
Mapadre wanakula Kila mwaka kiapo Cha utii kwa Askofu wake.As long Hilo agizo limetoka,hakuna mjadala mwingine Ni kutekeleza tu.Ila watafuata tahadhari zote
 
Back
Top Bottom