mweusi asili
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 2,035
- 3,358
Hata mwendazake alikua ni product ya seminary za katoliki lakini alicopy thesis ya Phd, kwenye msimamo sawa maana alikataa chanjo za corona kwa kuendeshwa na hisia lakini kwa kipindi kile tuliona wote na hao maaskofu tulicheza alichotaka mwendazake hakuna aliyenyanyua mdomo ila Sasa hivi tune imebadilika tunaona nao wanabadilika maana yake niniKanisa katoriki ni taasisi imara na inayoongozwa kwa weledi wa hali juu. Tuliosoma seminary tunafahamu hilo na ndio chombo pekee kilichoonesha msimamo wakati wa vituko vya awamu ya tano. Tuna shida sana kwenye educational program zetu zinatoa half cooked personnel. Haiwezekani na kituko cha dunia watu kuendeshwa na hisia kiasi kile yaani. It is impossible to move a mountain by say '' mountain go" haiwezi kutokea. Itoshe kusoma kongole kwa baba askofu na taasisi yako