Mwili ni kanisa/ mwili ni hekaluMapadri wote Tanzania nzima?
Hao mapadri hawana uhuru wa kuamua kuhusu matumizi ya miili yao ama ukiwa padri mwili ni wa kanisa ama askofu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwili ni kanisa/ mwili ni hekaluMapadri wote Tanzania nzima?
Hao mapadri hawana uhuru wa kuamua kuhusu matumizi ya miili yao ama ukiwa padri mwili ni wa kanisa ama askofu?
Soma vizuri ndugu. Acha kurukia mada.Mapadri wote Tanzania nzima?
Hao mapadri hawana uhuru wa kuamua kuhusu matumizi ya miili yao ama ukiwa padri mwili ni wa kanisa ama askofu?
Kwenye mataifa ambayo yana watu wenye akili za kijinga,chanjo ndo bado ni hiari.Hakuna mtu mwenye hiari ya kuambukiza wengine.Sawa, hongera kwa hilo ila chanjo ni hiari.
Kwa hiyo kama chanjo ni hiari,inampa mtu hiyari ya kuambukiza wengine? wewe ulichanja polio kwa hiari? RubbishAskofu anatoa agizo mapadre wote wachanjwe? Hata Papa hajatoa agizo popote! Kiukweli hilo agizo linastua sana! Seems ukichanja unatamani kila mtu achanje na wala si tu kwa nia njema bali kibinadamu tuna hulka hiyo...
Hio kusema waache utoto natumaini baba askofu ameenda mbali mno!Askofu anatoa agizo mapadre wote wachanjwe? Hata Papa hajatoa agizo popote! Kiukweli hilo agizo linastua sana! Seems ukichanja unatamani kila mtu achanje na wala si tu kwa nia njema bali kibinadamu tuna hulka hiyo...
Lakini sio kwa agizo ...Mapadre na watumishi wengi wa Kanisa, wapo katika kundi linalohudumia mamia ya watu.
Ni uamuzi mzuri na wa busara sana kama Mapadre watafuata muongozo wa Baba Askofu.
Kwa hiyo askofu wa jimbo hana mamlaka ya kutoa maagizo kwa mapadre wa jimbo lake?Lakini sio kwa agizo ...
Pole sana sana .... huu ufahamu wa namna hii ndio baadae mkichotwa makanisa ya kitaa mnasema "mimi nilikuwa Mkatoliki kwelikweli" [emoji23][emoji23]Wewe hujui chochote kuhusu Kanisa katoliki. Toka lini askofu wa jimbo husika akatoa ushauri kwa mapadre wa jimbo lake. Siku zote askofu huwa anatoa 'maagizo' na sio 'ushauri' kwa walio chini yake...
Nyinyi ndo papa Francis alikuwa anawazungumzia mnajifungia kwenye kijiji chenu wenyewe mkiamini ujinga.Unapaswa kuelewa kwamba dunia inaelekea kwenye kuifanya chanjo mandatory.Usiaminishe ujinga hapa kwa watu wasiokuwa na uelewa.Askofu anatoa agizo mapadre wote wachanjwe? Hata Papa hajatoa agizo popote! Kiukweli hilo agizo linastua sana! Seems ukichanja unatamani kila mtu achanje na wala si tu kwa nia njema bali kibinadamu tuna hulka hiyo...
Mtu yeyote anayeamini mawazo ya kijinga ya kupinga chanjo ili aambukize wengine-simple sefinition yake ni mpumbavu-Hapo askofu ametumia tena kauli ya kiungwana sana kuuita utoto-Hata Papa angetamka hilo hadharani Wakatoliki wangempinga hadharani! Askofu nae ni vizuri akakumbushwa mipaka yake. Kwanza kuwaambia mapadre waache utoto ni matusi!
Anawatafuta nini mapadre kama si kulazimisha mgogoro sababu tu ya chanjo? Chanjo imelipasua baraza la maaskofu Calfonia, akasome hiyo habari ili aongozwe kwa hekima.
Hata Papa angetamka hilo hadharani Wakatoliki wangempinga hadharani! Askofu nae ni vizuri akakumbushwa mipaka yake. Kwanza kuwaambia mapadre waache utoto ni matusi!
Anawatafuta nini mapadre kama si kulazimisha mgogoro sababu tu ya chanjo? Chanjo imelipasua baraza la maaskofu Calfonia, akasome hiyo habari ili aongozwe kwa hekim
bro uwe unafuatilia mbona Papa kashazungumza on behalf kuwa watu wachanje kwani chanjo ni salama na ishara ya upendo. I wish you could be informedHata Papa angetamka hilo hadharani Wakatoliki wangempinga hadharani! Askofu nae ni vizuri akakumbushwa mipaka yake. Kwanza kuwaambia mapadre waache utoto ni matusi!
Anawatafuta nini mapadre kama si kulazimisha mgogoro sababu tu ya chanjo? Chanjo imelipasua baraza la maaskofu Calfonia, akasome hiyo habari ili aongozwe kwa hekima.
Mzee mimi nalala na kuamkia kwenye habari za Kanisa. Tofautisha ushauri na agizo, Papa ameshauri hajatoa agizo! Agizo maana yake ni lazima na Padre ambaye hatochanja maana yake hamtii askofu wake! Akitoka kwa mapadre atatoa agizo kwa waamini wote! Kitu gani hiki?
Unakunywa bia gani agiza nakuja kulipa. Mapadri wanafundishwa royalty sana kuanzia juu mpaka chini. Kutii maagizo ya Baba askofu kwa mapadri hakuna mjadala. Kanisa katoliki wameshstraaribika kitambo. Nakumbuka Baba Askofu alimwonesha msimamo kayafa bila hofu yoyote licha yakuwa aliogopewa saWewe hujui chochote kuhusu Kanisa katoliki. Toka lini askofu wa jimbo husika akatoa ushauri kwa mapadre wa jimbo lake. Siku zote askofu huwa anatoa 'maagizo' na sio 'ushauri' kwa walio chini yake.
Na kamwe haiwezi tokea wala haitokaa itokee chini ya jua akatokea 'Padre wa Kanisa katoliki' akampinga 'Askofu wa kanisa katoliki' HADHARANI.
Narudia haijawah tokea na wala haitokaa itokee padre ampinge Askofu wa jimbo lake. Ndivyo ilivyo na itabaki kuwa hivyo. Wamefunzwa nidhamu ya hali ya juu miaka yao yote wakiwa seminari ndogo mpaka seminari kuu.
Migogoro itabaki ndani ya madhehebu madogo madogo au taasisi nyingine lakini si ndani ya Kanisa Katoliki. Askofu Awe amekosea au awe hajakosea itabaki kuwa maoni kwako na kwa wengineo ila kwa Mapdre watatii amri yake na maisha yataendelea. Hutokaa usikie malumbano au mgogoro wa aina yoyote ile kwa kanisa katoliki. Ndo imetoka hiyo. Ni suala la nidhamu. Agizo limetoka na litatekelezwa na Mapadre wote walio chini yake. Malumbano yatabaki kwa kina Gwajima lakini si kwa Kanisa katoliki
nilichogundua ni kuwa mtu ukisha_chanjwa inakuwa syo akili yakoAskofu anatoa agizo mapadre wote wachanjwe? Hata Papa hajatoa agizo popote! Kiukweli hilo agizo linastua sana! Seems ukichanja unatamani kila mtu achanje na wala si tu kwa nia njema bali kibinadamu tuna hulka hiyo.
Askofu hili haupo sawa. Mapadre watakupinga waziwazi na kuingiza Kanisa kwenye mgogoro ambao hukuutegemea. Kwanza unawaambia waache "utoto" kweli? Unafikiri kwa nafasi yako ya uaskofu maana yake umezidi mapadre wote akili?
Nimesikiliza hiyo hotuba nikawa very disappointed [emoji20] na Askofu wetu huyu.
Chanjo ni hiari, kama serikali inasema ni hiari wewe kiongozi wa dini unasema lazima? Kesho serikali ikiongoza kwa imla utapinga wewe? Very disappointed [emoji20]
Yes.Yan waumini tumesalishwa sala ya kuombea chanjo ya CORONA kupitia sala iliyoidhinishwa rasmi na TEC ili MUNGU atie mkono,alafu chanjo inapatikana halafu mapadre hawachanji,ni ujinga mtupu.Askofu ametekeleza wajibu wake sahihi mbele za MUNGU.Good Leadership! Cheupe kiitwe cheupe na cheusi kiwe cheusi. Kama watumishi wa kanisa wanaokutana na waumini wengi ni busara mapadri wachanje ili wajikinge wao wenyewe na waumini wao. Baba Askofu yuko sahihi. Una hiyari ya kuchanja ila huna hiyari ya kuambukiza wengine.
Pope Francis aliwazungumzia sana aina hii ya watu wanaopinga chanjo, akiwafananisha na kikundi cha wajinga wachache waliojifungia kwenye dunia yao wanaojiaminisha ujinga.bro uwe unafuatilia mbona Papa kashazungumza on behalf kuwa watu wachanje kwani chanjo ni salama na ishara ya upendo. I wish you could be informed
Unakunywa bia gani agiza nakuja kulipa. Mapadri wanafundishwa royalty sana kuanzia juu mpaka chini. Kutii maagizo ya Baba askofu kwa mapadri hakuna mjadala. Kanisa katoliki wameshstraaribika kitambo. Nakumbuka Baba Askofu alimwonesha msimamo kayafa bila hofu yoyote licha yakuwa aliogopewa sa
huyo wa mabatini ana PHD ww apo ni LY ..Shule ni muhimu sana kwenye maisha, hapa tunaona tofauti kati ya Askofu aliyeenda shule kuondoa ujinga na yule "Askofu mjinga na tapeli" wa mabatini Ubungo.
Kwanini unafikiri napinga chanjo? Wewe kachanje, mimi ni kama waberoya ...kama huwajui nenda kafatilie walipokeaje imani! Sifati ulimwengu kiboya.Nyinyi ndo papa Francis alikuwa anawazungumzia mnajifungia kwenye kijiji chenu wenyewe mkiamini ujinga.Unapaswa kuelewa kwamba dunia inaelekea kwenye kuifanya chanjo mandatory.Usiaminishe ujinga hapa kwa watu wasiokuwa na uelewa.
Usiaminishe watu ujingaHata Papa angetamka hilo hadharani Wakatoliki wangempinga hadharani! Askofu nae ni vizuri akakumbushwa mipaka yake. Kwanza kuwaambia mapadre waache utoto ni matusi!
Anawatafuta nini mapadre kama si kulazimisha mgogoro sababu tu ya chanjo? Chanjo imelipasua baraza la maaskofu Calfonia, akasome hiyo habari ili aongozwe kwa hekima.
Kwani Papa akisema inabidi nifate? Kasome vizuri katekisimu ili ujue Papa akisema nini unapaswa kufata, sembuse Askofu!Pope Francis aliwazungumzia sana aina hii ya watu wanaopinga chanjo, akiwafananisha na kikundi cha wajinga wachache waliojifungia kwenye dunia yao wanaojiaminisha ujinga.