Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Hakika......Jumbe Brown Yehodaya unaongea ujinga mtupu au ni dalili ya kukurupuka,Askofu amesema mwaka jana 2020 waumini wa RC walimwomba Mwenyezi MUNGU chanjo ipatikane na imepatikana,na hvyo anawashauri mapadre wakachome chanjo-Punguza mihemuko
Mkuu Yehodaya ni mlokole.....Ficha ujinga mkuu,sala ya kuombea janga la CORONA iliidhinishwa na TEC na ilikuwa inasaliwa makanisa yote katoliki Tanzania.Sasa ulitaka waje wakusalie na huko msikitini kwako wakati wewe siyo mroma?
Haeleweki huyo 🤣 🤣 🤣 Leo ameshaanza kueneza conspiracy Rais anashirikiana na jeshi la polisi katika mkakati wa kuwatoa mafisadi jela 🤣🤣🤣Mkuu Yehodaya ni mlokole.....
Uliwaona wakiabudia sanamuHao wavaa kanzu hawana maana unafiki tu wakijifanya wema kumbe mbwa mwitu wakiabudu sanamu!
Wewe umwa alafu usiende hospitali utegemee MUNGU atakuja kukuponyesha hapo kitandani 🤣🤣🤣Mimi nilidhani hawa watumishi wa Mungu maisha yao na ulinzi ni kutoka kwa Mungu na hata wakifa wanapata upendeleo wa kukaa mahali pema peponi, Sasa kama wanalazimishwa kuchanjwa Ili kupata uponyaji wa Corona.... Ina maana hawamwamini Mungu ? Kama hawamwami kuwa anaweza kuwaponya hata Corona mimi muumini napata wapi ujasili wa kuamini mahubiri yao kwetu kuhusu Mungu ?....
Mjinga ni mjinga tu,na ukibishana nae atakuchafua ili uwe worse zaid yakeUliwaona wakiabudia sanamu
Issue Nini waliomba kuwa chanjo ije ? Huu uongo wa kusema ohhh tuliomba Chanjo ije haukubaliki!!!! Askofu muongoFicha ujinga mkuu,sala ya kuombea janga la CORONA iliidhinishwa na TEC na ilikuwa inasaliwa makanisa yote katoliki Tanzania.Sasa ulitaka waje wakusalie na huko msikitini kwako wakati wewe siyo mroma?
Wewe umeshapoteza direction,hujulikani unasimamia nn,sasa hv umebaki kueneza conspiracy Rais anashirikiana na mafisadi,ukiambiwa u-prove unaweza?Issue Nini waliomba chanjo ije ? Huu uongo wa kusema ohhh tuliomba Chanjo ije haukubaliki!!!! Askofu muongo
Jikite kwenye mada Iliyopo ya uongo wa Askofu Yuda Ruwaichi kusema maombi yaliombwa kuomba chanjo ije.Usitutoe nje ya maada ya uongo wa Askofu Yuda RuwaichiWewe umeshapoteza direction,hujulikani unasimamia nn,sasa hv umebaki kueneza conspiracy Rais anashirikiana na mafisadi,ukiambiwa u-prove unaweza?
The logic behind-Ni kwamba wewe huna credibility,unaishi kwa conspiracy theories.Jikite kwenye mada Iliyopo ya uongo wa Askofu Yuda Ruwaichi kusema maombi yaliombwa kuomba chanjo ije.Usitutoe nje ya maada ya uongo wa Askofu Yuda Ruwaichi
Kweli haeleweki.....🤣Haeleweki huyo 🤣 🤣 🤣 Leo ameshaanza kueneza conspiracy Rais anashirikiana na jeshi la polisi katika mkakati wa kuwatoa mafisadi jela 🤣🤣🤣
Kwenye debate hutakiwi kuhama hojaThe logic behind-Ni kwamba wewe huna credibility,unaishi kwa conspiracy theories.
Mimi sio Padre wala mchungaji, nikiumwa nina hiali ya kwenda hospitali au la... Silazimishwi!. Hoja yangu inawahusu hao wachungaji wa kiroho ambao wametuhubiri Tangu enzi na enzi... Je waliyotuhubiri tumtegemea Mungu ilikuwa ni ulaghai tu? Kinachoponya ni chanjo au dawa na sio Mungu?Wewe umwa alafu usiende hospitali utegemee MUNGU atakuja kukuponyesha hapo kitandani 🤣🤣🤣
Tumsifu Yesu Kristo Baba Padre....!!Ndiyo
Unapaswa kuelewa MUNGU aliwapa binadamu karama tofauti tofauti kupitia Roho wake Mtakatifu,Madaktari wamepewa karama ya uponyaji-Ni neema ya MUNGU katika kuendeleza uhai miongoni mwa wanadamu.MUNGU anasema tutumie utashi,akili pamoja na maarifa ili tusiangamie na upumbavu.MUNGU hupenda mwanadamu naye ajisaidie kwa njia mbalimbali na awajibike pia kwa mazingira yake.Swali ni je,Kwann tunaambiwa tumtegemee tu MUNGU kwenye magonjwa lakini kwenye CHAKULA tunaambiwa tumwombe MUNGU na tujitume kufanya kazi kwa bidii? Kwann tusijifungie tu ndani na kumwomba MUNGU ili chakula kishuke? Jibu ni kwamba-Maandiko yanasema asiyefanya kazi na asile,hivyo kutokufanya kazi kwa bidii hudhalisha mzizi wa dhambi-kwa sababu uvivu huweza kupelekea wizi na kifo kutokana na njaa.Rais wetu mpendwa aliyemtegemea MUNGU pasipo kuwajibika kibinafsi kwa mazingira yake leo yukwapi? TB Joshua aliyewaaminisha watu mambo ya uwongo kuhusiana na CORONA yukwapi? Penye Sala,juhudi na uwajibikaji MUNGU huonekana.Mimi sio Padre wala mchungaji, nikiumwa nina hiali ya kwenda hospitali au la... Silazimishwi!. Hoja yangu inawahusu hao wachungaji wa kiroho ambao wametuhubiri Tangu enzi na enzi... Je waliyotuhubiri tumtegemea Mungu ilikuwa ni ulaghai tu? Kinachoponya ni chanjo au dawa na sio Mungu?
Ukiangalia kwa umakini nime-quote argument tu, hakuna nilichoandika japo hiyo argument kwa kutumia commonsense inaonekana iko reasonable.Mungu yupi maana sayansi haiamini masuala ya Mungu inaeleza mambo pasina kumuhusisha Mungu?
Sampuli ya wachungaji kama wakina Gwajima ni matapeli tu,mbona hawawaambii wafuasi wao wasifanye kazi wajifungie ndani wasali maana MUNGU atawaletea chakula?? Gwajima anajua MUNGU hatendi kazi kwa mtu pasipo uwajibikaji, na waumini wake wasipowajibika hatopata sadaka anazozitegemea.Ukiangalia kwa umakini nime-quote argument tu, hakuna nilichoandika japo hiyo argument kwa kutumia commonsense inaonekana iko reasonable.
NB: I don't believe in myth, hivyo hizo issues za ni Mungu yupi it's for you believers.
Naona umeamua kuhubiri kabisa!. haya uliyoandika ndio tunayoyasikia kila uchwao huko makanisani,barabarani na kwenye vituo vya mabasi. Kama karama na vipawa vimetolewa kwa watu, Hao mapadre na makanisa yao kazi yao hasa ni nini?... Kukusanya sadaka?.Unapaswa kuelewa MUNGU aliwapa binadamu karama tofauti tofauti kupitia Roho wake Mtakatifu,Madaktari wamepewa karama ya uponyaji-Ni neema ya MUNGU katika kuendeleza uhai miongoni mwa wanadamu.MUNGU anasema tutumie utashi,akili pamoja na maarifa ili tusiangamie na upumbavu.MUNGU hupenda mwanadamu naye ajisaidie kwa njia mbalimbali na awajibike pia kwa mazingira yake.Swali ni je,Kwann tunaambiwa tumtegemee tu MUNGU kwenye magonjwa lakini kwenye CHAKULA tunaambiwa tumwombe MUNGU na tujitume kufanya kazi kwa bidii? Kwann tusijifungie tu ndani na kumwomba MUNGU ili chakula kishuke? Jibu ni kwamba-Maandiko yanasema asiyefanya kazi na asile,hivyo kutokufanya kazi kwa bidii hudhalisha mzizi wa dhambi-kwa sababu uvivu huweza kupelekea wizi na kifo kutokana na njaa.Rais wetu mpendwa aliyemtegemea MUNGU pasipo kuwajibika kibinafsi kwa mazingira yake leo yukwapi? TB Joshua aliyewaaminisha watu mambo ya uwongo kuhusiana na CORONA yukwapi? Penye Sala,juhudi na uwajibikaji MUNGU huonekana.