🤣 🤣 🤣Dah-Kuna maswali huwa mtu akiuliza yanazalisha maswali mengi sana juu ya competence ya mtu anayeuliza 🤣🙌🙌🙌🤣Naona umeamua kuhubiri kabisa!. haya uliyoandika ndio tunayoyasikia kila uchwao huko makanisani,barabarani na kwenye vituo vya mabasi. Kama karama na vipawa vimetolewa kwa watu, Hao mapadre na makanisa yao kazi yao hasa ni nini?... Kukusanya sadaka?.
Wewe jibu ulichoulizwa tu, usitafute visingizio.🤣 🤣 🤣Dah-Kuna maswali huwa mtu akiuliza yanazalisha maswali mengi sana juu ya competence ya mtu anayeuliza 🤣🙌🙌🙌🤣
Udaktari sio karama ya uponyaji Ni kitu Cha kusomeaUnapaswa kuelewa MUNGU aliwapa binadamu karama tofauti tofauti kupitia Roho wake Mtakatifu,Madaktari wamepewa karama ya uponyaji-Ni neema ya MUNGU katika kuendeleza uhai miongoni mwa wanadamu.MUNGU anasema tutumie utashi,akili pamoja na maarifa ili tusiangamie na upumbavu.MUNGU hupenda mwanadamu naye ajisaidie kwa njia mbalimbali na awajibike pia kwa mazingira yake.Swali ni je,Kwann tunaambiwa tumtegemee tu MUNGU kwenye magonjwa lakini kwenye CHAKULA tunaambiwa tumwombe MUNGU na tujitume kufanya kazi kwa bidii? Kwann tusijifungie tu ndani na kumwomba MUNGU ili chakula kishuke? Jibu ni kwamba-Maandiko yanasema asiyefanya kazi na asile,hivyo kutokufanya kazi kwa bidii hudhalisha mzizi wa dhambi-kwa sababu uvivu huweza kupelekea wizi na kifo kutokana na njaa.Rais wetu mpendwa aliyemtegemea MUNGU pasipo kuwajibika kibinafsi kwa mazingira yake leo yukwapi? TB Joshua aliyewaaminisha watu mambo ya uwongo kuhusiana na CORONA yukwapi? Penye Sala,juhudi na uwajibikaji MUNGU huonekana.
🤣🤣🤣🤣🤣Ficha ujinga mkuu,sala ya kuombea janga la CORONA iliidhinishwa na TEC na ilikuwa inasaliwa makanisa yote katoliki Tanzania.Sasa ulitaka waje wakusalie na huko msikitini kwako wakati wewe siyo mroma?
Waliochanjwa Chanjo ya COVID-19 wanawaona ambao hawajachanja Kama wanaelekea kufa very soon Wakati huo, ambao hawataki chanjo wanawaona waliochanjwa Kama watakufa au kuwa mazombie very soon.Askofu anatoa agizo mapadre wote wachanjwe? Hata Papa hajatoa agizo popote! Kiukweli hilo agizo linastua sana! Seems ukichanja unatamani kila mtu achanje na wala si tu kwa nia njema bali kibinadamu tuna hulka hiyo.
Askofu hili haupo sawa. Mapadre watakupinga waziwazi na kuingiza Kanisa kwenye mgogoro ambao hukuutegemea. Kwanza unawaambia waache "utoto" kweli? Unafikiri kwa nafasi yako ya uaskofu maana yake umezidi mapadre wote akili?
Nimesikiliza hiyo hotuba nikawa very disappointed [emoji20] na Askofu wetu huyu.
Chanjo ni hiari, kama serikali inasema ni hiari wewe kiongozi wa dini unasema lazima? Kesho serikali ikiongoza kwa imla utapinga wewe? Very disappointed [emoji20]
Viongozi Wasomi pekee hawana tija mkuu Cha muhimu ni kuwa na viongozi wasomi na wenye busara daima hata wasio na busara tuwaombee maana tayari wapo paleBila ya usalama wa afya zetu tutazidi kuwapoteza VIONGOZI WETU WASOMI.....
#ChanjoNiboraKulikoTiba