LGE2024 Dar: BAKWATA yahimiza ushirikiano baada ya uchaguzi

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
hawa ndiyo viongozi wa dini sasa, kuhimiza umoja na mshikamano baina ya waTanzania, sio wale makhalakhancha wa akina ruwaichi na kitima, wachochea chuki na migawanyiko kwa waTanzania πŸ’
ELIMU ELIMU ELIMU
 
Bakwata = Rubber stamp ya ccm
 
Viongozi wa Bakwata Huwa Wana elimu Gani, kwa sababu Huwa siwaelewi.
Huwa Wana chaguliwa kupitia vigezo Gani?!
Kuna wenye elimu ya kiwango cha PhD kweli?
 
Uchaguzi wa kishenzi, watu wameuliwa, hawa bakwata, wanaona kila kitu nilikuwa poa, kisa, aliyepo ikulu ni islam mwenzao!
Siku hz sipati shida, kujua iliwezekana vipi waafrika kukamatwa, kufungwa minyororo na kupelekwa utumwani, ni akili za, makalio ni kama hz, zisizoona mbali, wanafikiria kwa vile Rais ana dini kama wao, watapata faida,
 
Anaehitaji ushirikiano zaidi ni mwananchi kuliko hata huyo Kiongozi maana Huduma za mwananchi zitamtegemeq Kiongozi wa Serikali.

By the way kwani kulikuwa na haja gani ya kukurupuka kutoa taarifa hii mapema? Hamuini mnazusha tahatuki?

Si ajabu wavaa kubasi Huwa mnaambiwa hamna akili Kwa sababu z kukirupuka πŸ˜†πŸ˜†
 
Lengo lao kuzima tamko la askofu ruwaichi wa TEC
 
Bakwata ni jumuia ndani ya CCM yenye jukumu mahsusi la kuwaghilbu Waislamu waiunge mkono CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…