Dar: Barabara ya kwenda Mbopo kupitia Madale Mikoroshini, Bwawani hadi Panga Boy ni mbovu

Dar: Barabara ya kwenda Mbopo kupitia Madale Mikoroshini, Bwawani hadi Panga Boy ni mbovu

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Barabara ya kwenda Mbopo kupitia Madale Mikoroshini, Bwawani hadi Panga Boy ni mbaya, kipande cha kutoka Panga Boy hadi Mbopo kiasi fulani imerekebishwa. Wananchi waiomba Serikali iwatazame kwa jicho la Huruma.

Awali kuna mtu alilalamika mtandaoni kwa kuandika: “Tunaomba mtusaidie Barabara ya Madale Mwisho kwenda Mbopo kupitia Mikoroshini, barabara mbovu sana na usafiri ni bodaboda tu, wanapandisha bei wanavyotaka wao, mara shilingi 2,000 mara shilingi 1,500."

 
Back
Top Bottom