Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Ukipita makutano ya Veta ukiwa unaelekea mjini, left ya kwanza..All the best ,Shaurimoyo ndiyo wapi? Makutano ya Kariakoo/Gerezani na Pugu Road?
Baada ya kushuka kwenye daraja la VETA mbele kuna daraja kisha unakunja kushoto unakutana na ICD ya TALL sasa ndo hiyo barabaraAll the best ,Shaurimoyo ndiyo wapi? Makutano ya Kariakoo/Gerezani na Pugu Road?
Angalau wewe umefafanua vizuri kuliko tanroad wenyewe....Baada ya kushuka kwenye daraja la VETA mbele kuna daraja kisha unakunja kushoto unakutana na ICD ya TALL sasa ndo hiyo barabara
Walichofunga ni kile kadaraja, ukitoka mataa veta kuna kituo kinaitwa darajani kabla hujakunja kuingia Shaurimoyo. Daraja lililofanya paitwe darajani wanalivunja. Wametengeneza diversion pembeni yake..Kwa hiyo ile ya kukunjia ukaja kutokea machinga isharuhusiwa? Hiyo ndo mbadala ila nayo kama wameifunga ni mtiti.