Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,147
- 2,008
Sio mbayaMkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam , Amos Makalla amesema Jijini humo kwamba , zaidi ya Shilingi Bilioni 44 zilizotolewa na Halmashauri kama mkopo kwa Wanawake , Vijana na Walemavu hazijarejeshwa tangu utaratibu wa kukopesha makundi hayo ulivyoanza hadi sasa .
Hebu toeni maoni yenu kwenye hili .
Bali inafahamika kwamba Hela nyingi za mikopo hii ya Halmashauri zinapigwa na viongozi wa Halmashauri pamoja na viongozi wa Wilaya wa ccm , badala ya walengwa .
Kwa mfano , huko Temeke , RC Makalla alibaini shilingi mil 300 kukopeshwa kwa Mwenyekiti wa ccm wa Wilaya hiyo peke yake , na tena alizipiga bila kurejesha , Usanii wa kuiagiza TAKUKURU ichunguze ulifanyika , lakini ripoti ya uchunguzi huo hatukuwahi kusomewa hadi leo .
Mungu ibariki Tanzania ukipenda wewe mwenyewe
Wanaopendekeza mikopo itolewe ndiyo haohao wanakwenda kuipokelea upande nyuma unategemea watairudisha?Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam , Amos Makalla amesema Jijini humo kwamba , zaidi ya Shilingi Bilioni 44 zilizotolewa na Halmashauri kama mkopo kwa Wanawake , Vijana na Walemavu hazijarejeshwa tangu utaratibu wa kukopesha makundi hayo ulivyoanza hadi sasa .
Hebu toeni maoni yenu kwenye hili .
Bali inafahamika kwamba Hela nyingi za mikopo hii ya Halmashauri zinapigwa na viongozi wa Halmashauri pamoja na viongozi wa Wilaya wa ccm , badala ya walengwa .
Kwa mfano , huko Temeke , RC Makalla alibaini shilingi mil 300 kukopeshwa kwa Mwenyekiti wa ccm wa Wilaya hiyo peke yake , na tena alizipiga bila kurejesha , Usanii wa kuiagiza TAKUKURU ichunguze ulifanyika , lakini ripoti ya uchunguzi huo hatukuwahi kusomewa hadi leo .
Mungu ibariki Tanzania ukipenda wewe mwenyewe
Ikiwa ni kupewa basi zingeitwa Bakhshishi , lakini ikiitwa mikopo maana yake ni lazima irejeshwe .Hayo makundi mfano walemavu je kuna mazingira wezeshi kwa wao kujishughulisha ili waweze kurudisha hio mikopo au wanapewa tu kama zawadi
Wacha weeee !!!!Pongezi kwa serikali maana hakuna afisa maendeleo aliyekonda kipindi hiki.....
Wa kwetu ukienda kupewa mkopo anakupatia masharti mengi kamavile unamuomba moyo hakuna kijana aliyepewa mkopo licha ya baadhi yao kujitahidi kufuata masharti...
Sasa hivi ana gari mbili mpya ndani ya miezi mitano..
Pls happyxxx pitia uzi huu,aliyetoa tamko ni deployment wa Chama dola,honestly comment uzi huuMkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam , Amos Makalla amesema Jijini humo kwamba , zaidi ya Shilingi Bilioni 44 zilizotolewa na Halmashauri kama mkopo kwa Wanawake , Vijana na Walemavu hazijarejeshwa tangu utaratibu wa kukopesha makundi hayo ulivyoanza hadi sasa .
Hebu toeni maoni yenu kwenye hili .
Bali inafahamika kwamba Hela nyingi za mikopo hii ya Halmashauri zinapigwa na viongozi wa Halmashauri pamoja na viongozi wa Wilaya wa ccm , badala ya walengwa .
Kwa mfano , huko Temeke , RC Makalla alibaini shilingi mil 300 kukopeshwa kwa Mwenyekiti wa ccm wa Wilaya hiyo peke yake , na tena alizipiga bila kurejesha , Usanii wa kuiagiza TAKUKURU ichunguze ulifanyika , lakini ripoti ya uchunguzi huo hatukuwahi kusomewa hadi leo .
Mungu ibariki Tanzania ukipenda wewe mwenyewe
Baadhi ya masharti yanatisha , kadi ya ccm pekee haitoshi , kuna jamaa aliambiwa ataje namba ya kadi ya TANU ya Marehemu Babu yake .Sio mbaya
Maana kama huna kadi ya Ccm hupati juo mkopo. Wame kulana wenyewe
[emoji38][emoji38][emoji38]Leo nimeona maajabu ya Tanzania ,R.P.C aandaa maandamano ya kupongezwa huko mkoani Mara