Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Naam hii ndiyo CCM yenyewe sasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Noma sana !Naam hii ndiyo CCM yenyewe sasa.
Haha huku WIZI kule USHOGA, duh ccm Tanza-nia hamuoni haya?? IdugundeMkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam , Amos Makalla amesema Jijini humo kwamba , zaidi ya Shilingi Bilioni 44 zilizotolewa na Halmashauri kama mkopo kwa Wanawake , Vijana na Walemavu hazijarejeshwa tangu utaratibu wa kukopesha makundi hayo ulivyoanza hadi sasa .
Mbona unansitua?Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam , Amos Makalla amesema Jijini humo kwamba , zaidi ya Shilingi Bilioni 44 zilizotolewa na Halmashauri kama mkopo kwa Wanawake , Vijana na Walemavu hazijarejeshwa tangu utaratibu wa kukopesha makundi hayo ulivyoanza hadi sasa .
Hebu toeni maoni yenu kwenye hili .
Bali inafahamika kwamba Hela nyingi za mikopo hii ya Halmashauri zinapigwa na viongozi wa Halmashauri pamoja na viongozi wa Wilaya wa ccm , badala ya walengwa .
Kwa mfano , huko Temeke , RC Makalla alibaini shilingi mil 300 kukopeshwa kwa Mwenyekiti wa ccm wa Wilaya hiyo peke yake , na tena alizipiga bila kurejesha , Usanii wa kuiagiza TAKUKURU ichunguze ulifanyika , lakini ripoti ya uchunguzi huo hatukuwahi kusomewa hadi leo .
Mungu ibariki Tanzania ukipenda wewe mwenyewe
Ndio wakutuletea Maendeleo hawa? Sasa Hivi vile vidude vya sensa vitauzwa kama scrapperNaam hii ndiyo CCM yenyewe sasa.
Aaghh wapi, mijizi na mishoga inaharibu nchiMbona unansitua?
umechelewa sana kustuka !Mbona unansitua?
Wivu wa nini mkuu wakati waTanzania Wenyewe hawana habari kukalia uoga,fitina na majungu wacha watu waleMkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam , Amos Makalla amesema Jijini humo kwamba , zaidi ya Shilingi Bilioni 44 zilizotolewa na Halmashauri kama mkopo kwa Wanawake , Vijana na Walemavu hazijarejeshwa tangu utaratibu wa kukopesha makundi hayo ulivyoanza hadi sasa .
Hebu toeni maoni yenu kwenye hili .
Bali inafahamika kwamba Hela nyingi za mikopo hii ya Halmashauri zinapigwa na viongozi wa Halmashauri pamoja na viongozi wa Wilaya wa ccm , badala ya walengwa .
Kwa mfano , huko Temeke , RC Makalla alibaini shilingi mil 300 kukopeshwa kwa Mwenyekiti wa ccm wa Wilaya hiyo peke yake , na tena alizipiga bila kurejesha , Usanii wa kuiagiza TAKUKURU ichunguze ulifanyika , lakini ripoti ya uchunguzi huo hatukuwahi kusomewa hadi leo .
Mungu ibariki Tanzania ukipenda wewe mwenyewe
Wazilejeshe kutoka wapi, wakati walivunja mabanda yao mtaani.Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam , Amos Makalla amesema Jijini humo kwamba , zaidi ya Shilingi Bilioni 44 zilizotolewa na Halmashauri kama mkopo kwa Wanawake , Vijana na Walemavu hazijarejeshwa tangu utaratibu wa kukopesha makundi hayo ulivyoanza hadi sasa .
Hebu toeni maoni yenu kwenye hili .
Bali inafahamika kwamba Hela nyingi za mikopo hii ya Halmashauri zinapigwa na viongozi wa Halmashauri pamoja na viongozi wa Wilaya wa ccm , badala ya walengwa .
Kwa mfano , huko Temeke , RC Makalla alibaini shilingi mil 300 kukopeshwa kwa Mwenyekiti wa ccm wa Wilaya hiyo peke yake , na tena alizipiga bila kurejesha , Usanii wa kuiagiza TAKUKURU ichunguze ulifanyika , lakini ripoti ya uchunguzi huo hatukuwahi kusomewa hadi leo .
Mungu ibariki Tanzania ukipenda wewe mwenyewe
DED wa Temeke alitaka kumuuzia mwekezaji Shule ya sekondari Kurasini , halafu shule hiyo ihamishiwe Chanika , sijui umeelewa ?Nimesoma weee, nimerudia mstari kwa mstari nukta kwa nukta lakini SIJAELEWA
Hawa watu wanatuona sisi ni viazi mbatata kabisa, kuwa kwenye system na kupata dhamana ya kuwa kwenye ofc za umma wanafanya wanavyotaka.Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam , Amos Makalla amesema Jijini humo kwamba , zaidi ya Shilingi Bilioni 44 zilizotolewa na Halmashauri kama mkopo kwa Wanawake , Vijana na Walemavu hazijarejeshwa tangu utaratibu wa kukopesha makundi hayo ulivyoanza hadi sasa .
Hebu toeni maoni yenu kwenye hili .
Bali inafahamika kwamba Hela nyingi za mikopo hii ya Halmashauri zinapigwa na viongozi wa Halmashauri pamoja na viongozi wa Wilaya wa ccm , badala ya walengwa .
Kwa mfano , huko Temeke , RC Makalla alibaini shilingi mil 300 kukopeshwa kwa Mwenyekiti wa ccm wa Wilaya hiyo peke yake , na tena alizipiga bila kurejesha , Usanii wa kuiagiza TAKUKURU ichunguze ulifanyika , lakini ripoti ya uchunguzi huo hatukuwahi kusomewa hadi leo .
Mungu ibariki Tanzania ukipenda wewe mwenyewe
Wazirudishe sasaHizo pesa zinaliwa na makada wa chama Cha mboga mboga ambao huunda vikundi fake na kuchukua pesa hizo mbona hiki liko wazi kabisa
Unaambiwa huu mchakato ni tangu kuanza kwa mikopo hiyo , kwani huyo Magu hakuwepo ?Watu wanajua kula asseee, magu njoo huku uone watu wanavyochezea inchi