REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,890
ambavyo najua nchi nyingi kama sio zote hapa East Africa and Central hawana huu ni ukweli mchungu
Magari yao yapo very modern and elegant sababu yana capacity kubwa ya ubora ukiongea kuhusu kuanzia kusugua lami kwa brash, kuosha lami kwa maji na sabuni na kuondoa au kuvuta vumbi na michanga yenye dimensions tofauti.
Pia naona wanahusika na umwagiliaji na utunzaji wa miti na bustani za jiji vyema
Arusha pia nimeona wanalo gari la Halmashauri la aina hii na lipo njema kwenye usuguaji wa lami kisasa zaidi.
Ama kwa hakika mnogo unakolea zaidi pale tunaposhuhudia utimamu wa technology yao pale wanapoukatili uchafu usiku wa manane bila hiyana hivyo kuondoa mnyukano wa foleni za magari kama wangefanya mchana
Mtaa wa pili Nafikiri Habari mmeipata wazee wa mafagio aka wala vumbi.