Dar city cleaning services smartest in East Africa and Central

Dar city cleaning services smartest in East Africa and Central

View attachment 589959 Hii company ya Green City nimeitambua uwepo wake nchini zaidi ya miaka mitano sasa wanayo vifaa vya kisasa
View attachment 589960
ambavyo najua nchi nyingi kama sio zote hapa East Africa and Central hawana huu ni ukweli mchunguView attachment 589963

Magari yao yapo very modern and elegant sababu yana capacity kubwa ya ubora ukiongea kuhusu kuanzia kusugua lami kwa brash, kuosha lami kwa maji na sabuni na kuondoa au kuvuta vumbi na michanga yenye dimensions tofauti. View attachment 589964

Pia naona wanahusika na umwagiliaji na utunzaji wa miti na bustani za jiji vyemaView attachment 589961 hili ni swala la kupongezwa na kupigiwa chapuo kwa kweli nataka watu kama hawa wenye vifaa vya kisasa ndio wawe wanapata tenders kwenye Halmashauri za Majiji kwenye swala zima la usafi wa jiji.View attachment 589967

Arusha pia nimeona wanalo gari la Halmashauri la aina hii na lipo njema kwenye usuguaji wa lami kisasa zaidi.
View attachment 589965
View attachment 589968 View attachment 589962

Ama kwa hakika mnogo unakolea zaidi pale tunaposhuhudia utimamu wa technology yao pale wanapoukatili uchafu usiku wa manane bila hiyana hivyo kuondoa mnyukano wa foleni za magari kama wangefanya mchanaView attachment 589976 View attachment 589977
Mtaa wa pili Nafikiri Habari mmeipata wazee wa mafagio aka wala vumbi.
Wewe ni mrundi ama mtz?
 
Nimekuja hapa nikitegemea taarifa za utafiti uliofanywa na wadau kwenye taaluma, kumbe ni bandiko la mtu ambaye hajawahi kutoka nje ya kijiwe chake cha Dar, unasifia kampuni kisa umeona magari yao.
Bora hata ungesema Moshi, yaani hiyo Dar ninayoifahamu au unaongea kuhusu nyingine tofauti.

Angalia hapa level yenu

cleanest_cities.jpg

Cleanest Cities in Africa
 
be creative...tulete picha za usafi huo wa Dar...sio mambo ya tulori twa kufagia barabara...lol!😀😀 which city does not have a cleaning service?? BTW, Kigali probably does not have those lorries but just see what they've done with their city...🙂🙂
Yaani we brother siku zote nakuonaga kazi yako ni kuinanga Tanzania tu. Kila kitu ni kulinganisha Kenya na Tanzania. Hebu badilika basi
 
Yaani we brother siku zote nakuonaga kazi yako ni kuinanga Tanzania tu. Kila kitu ni kulinganisha Kenya na Tanzania. Hebu badilika basi

Sasa mbana mnalialia mkijibiwa maana wenyewe mumeleta taarifa za magari ya usafishaji wa mji eti ndio kiashiria cha usafi wa Dar ambao mnadai umeshinda nchi zote......
Hehehe, nyie kituko kweli, hivi mnajua baadhi ya hizi taarifa husomwa na watu wasio Watanzania, bora huwa mnatumia Kiswahili maana mngechekwa sana kama mngejua kutumia Kingereza na kuleta taarifa kama hizi, kwa sasa inaishia huku huku tu.
 
Mleta mada, baada ya kugundua kuwa uzi wake umemletea aibu tupu tu jamaa amesepa amezamia sijui ni Malaysia au?
 
Kuna mkenya mwenzenu alianzisha uzi wa kuhusu vyoo halafu alivyokua fala akaandika
".... Tanzania ipo top ten ya nchi zisizotumia vyoo"

Probably we were shitting in his head for all the damn time
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] so sisi tanzania ni wazee wa chaka au,dah
 
Mkuu mbona huku tandale na Manzese hatuzioni ??!! Dar Ni miongoni mwa majiji machafu duniani
 
Nimekuja hapa nikitegemea taarifa za utafiti uliofanywa na wadau kwenye taaluma, kumbe ni bandiko la mtu ambaye hajawahi kutoka nje ya kijiwe chake cha Dar, unasifia kampuni kisa umeona magari yao.
Bora hata ungesema Moshi, yaani hiyo Dar ninayoifahamu au unaongea kuhusu nyingine tofauti.

Angalia hapa level yenu

View attachment 590285

Cleanest Cities in Africa
Wewe taahila acha kukaririshwa na report uchwara unataka kusema Dar ni safi kuliko Kigali ?
 
Povu, hasira na machungu ya wakenya vimedhihirika kwenye huu Uzi,
Aisee sijawahi ona povu la namna hii...
Na bado, the coming 10 years hatutakuwa level yenu tena.
Mwenye povu na matusi tunamuona hapa anatukana watu na si Mkenya ni Mrundi jina anaitwa Reedemer
 
Sasa mbana mnalialia mkijibiwa maana wenyewe mumeleta taarifa za magari ya usafishaji wa mji eti ndio kiashiria cha usafi wa Dar ambao mnadai umeshinda nchi zote......
Hehehe, nyie kituko kweli, hivi mnajua baadhi ya hizi taarifa husomwa na watu wasio Watanzania, bora huwa mnatumia Kiswahili maana mngechekwa sana kama mngejua kutumia Kingereza na kuleta taarifa kama hizi, kwa sasa inaishia huku huku tu.
Nenda kasukume toroli bana Dar sio size yenu.
 
watanzania kwa majigambo hawajambo.,..yaani kijiji kikiwa na vigari vya kukodisha inakua kelele yaani lazima waikejeli +254
 
Back
Top Bottom