Dar city cleaning services smartest in East Africa and Central

Dar city cleaning services smartest in East Africa and Central

Safi sana kwa kuelewa somo langu kwa kutamka "Kiingereza" badala ya kizungu.

Jua zaidi

Fasaha tunaita Kiingereza sababu kiasili ni lugha ya England au kwa kiswahili Uingereza sio kizungu kama mlivyozoea akili fupi.
Na kwa akili yako iliyo legea niambie nyinyi warundi lugha yenu halisi ni gani? Kama kiingereza wanavoongea watu wa huo upande wa pili Burundi itakuwa ni nini Profesa?
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Na kwa akili yako iliyo legea niambie nyinyi warundi lugha yenu halisi ni gani? Kama kiingereza wanavoongea watu wa huo upande wa pili Burundi itakuwa ni nini Profesa?
Kamuulize mamako
 
mambo ya ugaidi imetoka wapi sasa? smh😀😀😀nashuku elimu yenu...kisha kenya haina ugaidi...somalia ndio kuna ugaidi...al shabaab ni wa wapi?...wewe boya nini?😀😀 there is no terror organization in Kenya..mfano, ISIS imefanya mashambulizi USA France na germany...sasa hizi nchi zinaongoza kwa ugaidi sio?😀😀
Umepanic brother, get some water.
 
Povu, hasira na machungu ya wakenya vimedhihirika kwenye huu Uzi,
Aisee sijawahi ona povu la namna hii...
Na bado, the coming 10 years hatutakuwa level yenu tena.
 
Povu, hasira na machungu ya wakenya vimedhihirika kwenye huu Uzi,
Aisee sijawahi ona povu la namna hii...
Na bado, the coming 10 years hatutakuwa level yenu tena.
bora useme wewe,nikisema Mimi wanasema nawachokoza.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
pitia comments zote mpaka mwisho kisha uone
nimepitia,lakini comment zako zote ulizoweka kwenye thread hii ni povu na kulia kulia mwanzo mwisho....sijaona cha maana ulicho andika.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wakenya bwana, Mada ikiwa ngumu kwao hawakawii kuibadilisha, utaskia Mara Kigali, Mara kingeleza Mara wazungu
 
Stupide comme vous, il vaut mieux vous arrêter parce que vous n'avez aucun sens
Utaongea hadi kibanyamulenge we mrundi. Huna ujanja, ulishachemsha zamani sana kwenye kichwa cha mada yako. Ingefaa iwe Dar city cleaning services smartest in East and Central Africa. Sasa hapo .....in East Africa and central...ndo central what? Central Tanganyika? Central African Republic au? Kuwa mpole nilitaka kukurekebisha hapo tu lakini povu likakuzidi. Usiwe na haraka kiingereza huwa kinaingia tu mos mos! 😀
 
Kamuulize mamako
emoji23.png
emoji23.png
hasira
 
Utaongea hadi kibanyamulenge we mrundi. Huna ujanja hapo ulichemsha zamani sana kwenye kichwa cha mada yako. Ingefaa iwe .....in East and Central Africa sasa hapo .....and central....? ndo central what? Tanganyika Central African Republic au? Kuwa mpole nilitaka kukurekebisha hapo tu lakini povu likakuzidi. Kiingereza hakitaki haraka, huwa kinaingia tu mos mos.😀
we nawe huishiwi vijembe...[emoji23]
 
sina mengi,

ila napenda kujisifu,mada zangu,kuna watu wananisoma,

Rebeca oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Wakurugenzi na mayors wa majiji Tz yaani Dar, Arusha, Mwanza, Tanga, Dodoma na Mbeya wapelekwe kigali wakapewe funzo na kujionea namna ya jiji linavyotengenezwa na kuwekwa safi.
 
Back
Top Bottom