pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Na kwa akili yako iliyo legea niambie nyinyi warundi lugha yenu halisi ni gani? Kama kiingereza wanavoongea watu wa huo upande wa pili Burundi itakuwa ni nini Profesa?Safi sana kwa kuelewa somo langu kwa kutamka "Kiingereza" badala ya kizungu.
Jua zaidi
Fasaha tunaita Kiingereza sababu kiasili ni lugha ya England au kwa kiswahili Uingereza sio kizungu kama mlivyozoea akili fupi.