Dar city cleaning services smartest in East Africa and Central

Wewe ni mrundi ama mtz?
 
Nimekuja hapa nikitegemea taarifa za utafiti uliofanywa na wadau kwenye taaluma, kumbe ni bandiko la mtu ambaye hajawahi kutoka nje ya kijiwe chake cha Dar, unasifia kampuni kisa umeona magari yao.
Bora hata ungesema Moshi, yaani hiyo Dar ninayoifahamu au unaongea kuhusu nyingine tofauti.

Angalia hapa level yenu



Cleanest Cities in Africa
 
Yaani we brother siku zote nakuonaga kazi yako ni kuinanga Tanzania tu. Kila kitu ni kulinganisha Kenya na Tanzania. Hebu badilika basi
 
Yaani we brother siku zote nakuonaga kazi yako ni kuinanga Tanzania tu. Kila kitu ni kulinganisha Kenya na Tanzania. Hebu badilika basi

Sasa mbana mnalialia mkijibiwa maana wenyewe mumeleta taarifa za magari ya usafishaji wa mji eti ndio kiashiria cha usafi wa Dar ambao mnadai umeshinda nchi zote......
Hehehe, nyie kituko kweli, hivi mnajua baadhi ya hizi taarifa husomwa na watu wasio Watanzania, bora huwa mnatumia Kiswahili maana mngechekwa sana kama mngejua kutumia Kingereza na kuleta taarifa kama hizi, kwa sasa inaishia huku huku tu.
 
Mleta mada, baada ya kugundua kuwa uzi wake umemletea aibu tupu tu jamaa amesepa amezamia sijui ni Malaysia au?
 
Kuna mkenya mwenzenu alianzisha uzi wa kuhusu vyoo halafu alivyokua fala akaandika
".... Tanzania ipo top ten ya nchi zisizotumia vyoo"

Probably we were shitting in his head for all the damn time
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] so sisi tanzania ni wazee wa chaka au,dah
 
Mkuu mbona huku tandale na Manzese hatuzioni ??!! Dar Ni miongoni mwa majiji machafu duniani
 
Wewe taahila acha kukaririshwa na report uchwara unataka kusema Dar ni safi kuliko Kigali ?
 
Povu, hasira na machungu ya wakenya vimedhihirika kwenye huu Uzi,
Aisee sijawahi ona povu la namna hii...
Na bado, the coming 10 years hatutakuwa level yenu tena.
Mwenye povu na matusi tunamuona hapa anatukana watu na si Mkenya ni Mrundi jina anaitwa Reedemer
 
Nenda kasukume toroli bana Dar sio size yenu.
 
watanzania kwa majigambo hawajambo.,..yaani kijiji kikiwa na vigari vya kukodisha inakua kelele yaani lazima waikejeli +254
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…