Dar Coach wazidi kushusha bei zao za uundaji body za mabasi

Mazingira ya kiuchumi kaka ndo yanachangia kupenda cheapest..
Sasa kuna haja gani ya kununua michina mitano kwa mwaka kwa kila mchina 20000 wakati ungejichanga na kuvumilia ungeweza kumiliki simu nzuri itakayodumu zaidi ya miaka hata mitano
 
Nimeona hii kitu nikawa nafikiria bila kupata majibu yaani bus moja ni tshs.484milioni!? ASA utapata faida kweli!? Labda kama walikosea hizo figure
Mbona pesa ya madafu sasa? Kaulize bei ya zile dar express mpya au Kilimanjaro express mpya zile...bei ni kuanzia mil 900 per bus.

All men are self made [emoji123]
 
Mzee mremi na Dar Express yake anakomaa sana ni zaid ya taita kwenye biashara ya mabus hapa Tz hasa kanda ya kaskazin,
Na ndo taita pekee aliobaki kununua markopolo scania mpyaaa za kiwango. I salute that mzee 17+ years yupo tu. [emoji146]
 
mzee usizungumze habar ya KE achana nayo Dar coach shughul hamna bod zke za kiboya em angalia tahmeed vyuma alivyoingiza mze
 
Kuna Scania fulani hivi za Route ya Tanga-Dar-Mtwara(na Vive Versa) za mabasi ya Kampuni ya Tashrif,daa wale jamaa ni kiboko,ni hapa Dar au Mombasa? Maana jamaa wametengeneza Body utafikiri Marcopolo au Yutong. Jamaa wako njema sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…