Dar Coach wazidi kushusha bei zao za uundaji body za mabasi

Ingekua Mchina huyu jamaa anagekua Billionaire saivi ukienda hata 100M anakutengenezea gari lako safii tuu
Kweli kabisa chief,pia serikali ilifaa kuweka incentive za kuwalinda local coach fabricators ili kuikuza hii sector. Basi ya mchina ingekuwa ghali kidogo au bei sawa na Scania ambayo body kimeundwa east Africa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…