#COVID19 Dar: Daladala zatakiwa kuwa Level Seat, kutakuwa na ziara za kustukiza masokoni

#COVID19 Dar: Daladala zatakiwa kuwa Level Seat, kutakuwa na ziara za kustukiza masokoni

Sasa mbona utekelezaji hatuuoni? Baadhi ya daladala wananchi hawavai Mask na Kujazana ndio usiseme.. Huko mwendokasini ndio balaa watu wanashonana hasa asubuhi na jioni

Hakuna kiongozi anaejali, Hao LATRA mbona hatuwaoni kwenye vituo vya mabasi, katikati ya vituo na hizo ziara mnazosema ni za kushtukiza ndio zipi, ukaguzi haupo
 
Back
Top Bottom