Dar: DAWASA imeanza kutekeleza kazi ya kufunga kifaa cha kusukuma maji kwenda Bonyokwa

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) imeanza kutekeleza kazi ya kufunga kifaa cha kusukuma maji (Booster pump) kwa lengo la kuongeza upatikanaji maji katika eneo la Mavurunza kwa ajili ya kupeleka maji katika maeneo ya Bonyokwa kwa Kichwa, Kwa Dani Mrwanda, Shedafa, Macedonia, mnara wa voda, Chuo cha Masanja, Bonyokwa Kisiwani, JKT B, Msikiti wa Kijani, Mwisho wa Rami, Viwanja vya JKT na baadhi yatanufaika katika kata ya Kisukulu

Kazi inayoendelea sasa ni kutafuta usawa wa ardhi (leveling) kwa ajili ya msingi ili kuchimba na kulaza bomba.

Pia soma:

Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…