Kama vina bangi huwa inasemwa mvuta bangi huwa na kujiamini kulikopitiliza so mtu anaweza akakwepa kuvuta bangi akakutana nayo kwenye energy drink akaenda kufanya vitu vya ajabu.Ubabaishaji,uonevu na fitina za Kibiashara tu.Kwamba kuna kinywaji ukikinywa unapata hamu ya kwenda kufanya uhalifu!!!!????.CCM ni hatari sana.
Watafute Mawakili wazuri ,watashinda kesi.
Tunaomba picha ya "packaging" ya hicho kinywaji muonekano wa chupa nk kama kuna uwezekano wa kuipata.Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imebaini na kukamata makopo 122 ya vinywaji vya kuongeza nguvu (energy drinks) vyenye kemikali ya THC, inayopatikana kwenye dawa za kulevya aina ya bangi, katika operesheni iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Vinywaji hivyo vyenye chapa ya TRIP, vyenye ujazo wa mililita 250 kila kopo, sawa na lita 30.5, vilikamatwa baada ya DCEA kwa kushirikiana na Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA), Shirika la Viwango Tanzania (TBS) na Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) kufanya ukaguzi katika duka la Village Supermarket.
Akizungumza na waandishi wa habari Julai 02, 2026, Kamishna Jenerali wa DCEA, Aretas Lyimo, amesema katika operesheni hiyo watuhumiwa wawili, Syed Abdul Bast (43), raia wa Pakistan, na Dhirendra Kumar Gorodhan (45), Mtanzania mwenye asili ya Asia, walikamatwa na hatua za kisheria zinaendelea.
DCEA imeeleza kuwa kemikali ya THC inaweza kusababisha madhara mbalimbali kwa mtumiaji, ikiwemo kuamsha magonjwa ya akili, kubadili utendaji wa mfumo wa fahamu, kuchochea vitendo vya uhalifu na matumizi ya dawa nyingine za kulevya.
Hata hivyo, tukio hilo ni sehemu ya mafanikio ya operesheni zilizofanyika nchini kote kati ya Mei na Juni 2026, ambapo jumla ya tani 22.6 za dawa za kulevya, lita 30.5 na kilogramu 19.94 za dawa tiba zenye asili ya kulevya zilikamatwa.
Matumizi mabaya ya ''hata hivyo''. Matokeo ya shule za kukariri. Watu wanadhani ukiandika habari ni lazima uweke ''hata hivyo''. Elimu yetu imekuwa janga badala ya ukombozi. Hata vyombo vya habari vikubwa huwa wanafanya hili kosa.Hata hivyo, tukio hilo ni sehemu ya mafanikio ya operesheni zilizofanyika nchini kote kati ya Mei na Juni 2026, ambapo jumla ya tani 22.6 za dawa za kulevya, lita 30.5 na kilogramu 19.94 za dawa tiba zenye asili ya kulevya zilikamatwa.
Ni pale unapoitumia kwa hiari yako na bila kudanganywa.Bangi haina shida.
Usifanye kichwa chako kuwa kigumu.Ubabaishaji,uonevu na fitina za Kibiashara tu.Kwamba kuna kinywaji ukikinywa unapata hamu ya kwenda kufanya uhalifu!!!!????.CCM ni hatari sana.
Watafute Mawakili wazuri ,watashinda kesi.
😂Na hizi za kina azam hazina bangi kweli?
Aliye kuroga ni nani mpaka unaamini kuna jema chini ya CCM hii!!!???Basi hiyo kemikali ya kuchochea uhalifu itakuwa inapatikana CCM pale Lumumba,ndiyo huwa mnawanywesha Polisi-CCM maana ndiyo wahalifu,wanateka watu na kuwaua?.Usifanye kichwa chako kuwa kigumu.
Na DCEA hawako kwaajili ya kukandamiza biashara za watu plus ni mamlaka zaidi ya moja zilizoshirikiana kufanya Hilo zoezi. Na ni zoezi jema kabisa.
#Binadamu hamna shukrani
Sasa bangi tena ya kunywa ina shida gani Mkuu!??Na hizi za kina azam hazina bangi kweli?
THC, unaifahamu?Aliye kuroga ni nani mpaka unaamini kuna jema chini ya CCM hii!!!???Basi hiyo kemikali ya kuchochea uhalifu itakuwa inapatikana CCM pale Lumumba,ndiyo huwa mnawanywesha Polisi-CCM maana ndiyo wahalifu,wanateka watu na kuwaua?.