Idimulwa
Platinum Member
- May 27, 2011
- 6,351
- 5,556
Wala sihitaji kuifahamu,zaidi ya CCM inayoteka watu,ndiyo adui Mkuu.THC, unaifahamu?
Wala sihitaji kuifahamu,zaidi ya CCM inayoteka watu,ndiyo adui Mkuu.THC, unaifahamu?
Unafahamu wanajibu na kazi za DCEA na TBS?Wala sihitaji kuifahamu,zaidi ya CCM inayoteka watu,ndiyo adui Mkuu.
Sasa wangeenda kiwandani hiyo muuzaji katengeneza yeye?Na wale waliowahi kuvitumia hivyo vinywaji hali ikoje?
Unafamu wajibu na kazi za CCM?Unafahamu wanajibu na kazi za DCEA na TBS?
Wewe ni mwalimu wa kiswahili?Matumizi mabaya ya ''hata hivyo''. Matokeo ya shule za kukariri. Watu wanadhani ukiandika habari ni lazima uweke ''hata hivyo''. Elimu yetu imekuwa janga badala ya ukombozi. Hata vyombo vya habari vikubwa huwa wanafanya hili kosa.