Hakuna aliyewahi kuua bila ya kuacha alama ama vielelezo vya kuanzia upelelezi.Halafu kuna mwamba anakuambia "nitakuua bila kuacha ushahidi"
Masikini vipi wahusika walichukuliwa Hatua GaniYalitatuliwa vibaya mno
Mkuu mke wa mtu ana alama!!? Sema sheria itungwe wake za watu na waume za watu wawekwe alama usoni,na kwanini useme wanaotembea na wake za watu!!? Je wewe unamchukulia kuwa mwanamke ni kiumbe dhaifu asiye na maamuzi?Ifikie hatua serikali iwachukulie hatua wanaotembea na wake za watu Ili Watu wapate pa kushtaki, Hapa aliefumaniwa keshajiona mshindi[emoji3525]
Aisee, tukimbilie wapi!? WajameniHuwezi kuua kwa ajili ya mapenzi, lakini wewe waweza kuuliwa kwa ajili ya mapenzi.
Kabla haujafa kaika maisha haya, hauna uwezo wa kuzuia hulka za mtu mwingine kufanya jambo ovu juu yako.
Kama India mke wa mtu ana kidoti pajini na mme, na nyingine sijui wanaita sinduriMkuu mke wa mtu ana alama!!? Sema sheria itungwe wake za watu na waume za watu wawekwe alama usoni,na kwanini useme wanaotembea na wake za watu!!? Je wewe unamchukulia kuwa mwanamke ni kiumbe dhaifu asiye na maamuzi?
Sheria ya namna hiyo haiwezekani kwa ulimwengu wa sasa,na Mimi nikisikia hivyo nitakuwa mstari wa mbele kupinga sheria hii.
Mimi naamini mwanamke ana maamuzi yake,akikwenda nje ya ndoa achana naye kama huwezi vumilia na sio kumuua!!