Dar: Dibron Saidi ahukumiwa kunyongwa kwa kosa la kumuua Mkewe Herieth Justine kwa kisu, ni baada ya kumfumania

Dar: Dibron Saidi ahukumiwa kunyongwa kwa kosa la kumuua Mkewe Herieth Justine kwa kisu, ni baada ya kumfumania

Umemaanisha kweli hili?
100% I hate cheating heshima ya Mme ni mke mwenye kujitambua,kizazi chetu elimu badala itusaidie inazalisha wanawake tusojua thamani ya maishaa ya ndoa,uzinzi Kwa Sasa wanawake wa ndoani ni Malaya kuliko walokua nje Yaani humo makazini,mabodaboda n.k wanawake wanaziniwa hovyoo mnooo Tena Kwa Bei rahisi ukute mmewe anahudumia 100% ila kisa tu umbali anakubali kuziniwa na kibodaboda
Kuna mdada kazini kwetu mmewe anahudumia 100%anampenda n.k ila Sasa kutwa kusifia vitoto vidogo vya kiume Yaani yule kaolewa tu Kwa kua mwanaume ana pesa ila hampendi mmewe daahh huzuni sanaa
 
Hizi hukumu hewa, hukumu jina tu, eti kunyongwa hadi kufa,

hukumu ambazo hazijawahi hata kutekelezwa, ni wakati sahihi zifutwe tu, ni kuogopesha watu tu kunyongwa hadi kufa huku uhalisia uliopo hiyo ni adhabu ya kifungo cha maisha tu..

Maana waliohukumiwa kunyongwa adhabu hizo hazijawahi kutekelezwa hata mara moja kama wenzetu saudia. Gerezani wanaishi kama peponi! Hawafanyi Kazi yoyote ila hawaonani na binadamu yeyote....nadhani huo upweke wanaokuwa nao unawatosha.
Usiongee mambo usioyajua mkuu.Tafuta taarifa kidogo basi kabla ya ku post
 
Usiongee mambo usioyajua mkuu.Tafuta taarifa kidogo basi kabla ya ku post
Punguza ujuaji! Sio kila post lazima uchangie

ILI kuonekana unajua ambacho hukijui!

Nimekulia magereza, nimesomea na kuishi quarters za magereza..

Baba yangu yangu mkubwa akiwa cheo kikubwa tu....katika moja ya hayo magereza yanayohifadhi wahukumiwa wa kunyongwa.

Nikiwa miongoni mwa vijana wenye nidhamu kuliko vijana wake, maana nilikuwa yatima, alikuwa zaidi ya rafiki kwangu tulipiga story nyingi mno nazijua ambazo huzijui na pengine hutakuja kuzijua kamwe! Kuhusu hawa wafungwa wanaohukumiwa kunyongwa....

Wakati mwingine ni hekima kukaa kimya, kuliko kuonekana unajua ambacho hukijui....na wengi tu hawajui maisha ya hao watu gerezani.
 
Sheria haikatazi kufanya mapenzi na mke au mume wa mtu; iko very silent kwenye suala hilo. Actually ni haki yako mkikubaliana. Ukimfumania mkeo au mumeo kuna taratibu za kufuata na sio kuua, kupiha, au kulawiti. Kutenda hayo ni kinyume cha sheria na ustahili adhabu kali.
Sheria ya ndoa inakataza hilo suala , ikitokea ukashtakiwa na ikathibitishwa mahakamani
Sheria ya ndoa ya tz ya mwaka 1979 kifungu cha 72 kinaeleza kuhusu hayo.
Mahakama Kwa mjibu wa Sheria hiyo imepewa mamlaka ya kuamua adhabu yeyote ikizingatia Mila na desturi pia inaweza kuwa ni kigezo cha kudai talaka
 
100% I hate cheating heshima ya Mme ni mke mwenye kujitambua,kizazi chetu elimu badala itusaidie inazalisha wanawake tusojua thamani ya maishaa ya ndoa,uzinzi Kwa Sasa wanawake wa ndoani ni Malaya kuliko walokua nje Yaani humo makazini,mabodaboda n.k wanawake wanaziniwa hovyoo mnooo Tena Kwa Bei rahisi ukute mmewe anahudumia 100% ila kisa tu umbali anakubali kuziniwa na kibodaboda
Kuna mdada kazini kwetu mmewe anahudumia 100%anampenda n.k ila Sasa kutwa kusifia vitoto vidogo vya kiume Yaani yule kaolewa tu Kwa kua mwanaume ana pesa ila hampendi mmewe daahh huzuni sanaa
Touching- unajua ukioa inakuwa umepata mwanamke au mke.

Ukioa mwanamke ndiyo kama huyu Mke wa jamaa hapo ofisini.

Ukioa Mke basi ndiyo hao wenye kujua nini maana ya ndoa na kutulia kulea ndoa ,mume na familia kwa ujumla.

Kongole kwa wanaume wote walioa mke badala na pole yetu wengine tulioa wanawake.

😅😅😅
 
Kwani alipost uchi wa mke wa jamaa??

Sasa hiyo kumrekodi ndio itamfanya mkeo aache kupigwa pipe nje??

Kama unataka kuiridhisha nafsi yako kwa kisasi panga kiakili basi sio kwa hasira na kukurupuka kama huyo mwehu hapo kideoni. Huo ni udhaifu mkubwa sana kwetu sisi wanaume. Umechapiwa unaacha kudeal na mkeo au kucheal utulize akili eti unakazana sijui kumlawiti mgoni hadharani, kumuua, kumdhalilisha kama hivo n.k. kitu ambacho mwisho wa siku wewe utaishia lupango
yote haya anaweza yaepuka kwa kukataa ndoa

JATAA NDOA
KIJANA USIOE
 
Haya yote angeyaepuka kama angekataa kuoa ...ona sasa mwendo anaenda kuumalizia jela..bora hata angehukumiwa kwa kujaribu kuiba mabilioni tungesema ni mpambanaji
 
Wale mnaodandia wake za watu na kuja kujisifu humu ndani Kuna siku mtakuja kutoa ushuhuda Tata.
 
Kuna hili la huyu mgoni oneni anachofanyiwaView attachment 2484918
Huyu jamaa aliye fumaniwa ni boya sana pia amekaa kindezi sana , nilivyo ona hii video kuna makosa mengi wamefanya hao walio mshika na angeweza kutoroka bila shida na pia kuna nafasi aliachiwa angeweza hata kunyang'anya panga angekuwa anataka kuonyesha uwezo. Kitu kinacho tuangusha watu wengi hatujui self defense.
Kitu cha kujua hakuna mtu asiye ogopa kufa hii ni kanuni muhimu sana kuijua na unaweza kuitumia kumtoroka mtu yoyote maana nayeye atangalia usalama wake kwanza, hapo ndo unapata upenyo.
 
Touching- unajua ukioa inakuwa umepata mwanamke au mke.

Ukioa mwanamke ndiyo kama huyu Mke wa jamaa hapo ofisini.

Ukioa Mke basi ndiyo hao wenye kujua nini maana ya ndoa na kutulia kulea ndoa ,mume na familia kwa ujumla.

Kongole kwa wanaume wote walioa mke badala na pole yetu wengine tulioa wanawake.

[emoji28][emoji28][emoji28]
Naimani umeoa mke na Mungu awape amani furaha na upendo wa kweli
 
Ni aibu na fedheha mwanaume kuingia matatizoni kwasababu ya wivu wa mapenzi.. wivu wa mapenzi ni upumbavu wa mapenzi..
 
Mwanamke ukihisi hujaacha umalaya usiolewe

Wala utawalaumu wanawake tu, kwanza kuanza kufuatilia nyendo za mke wako, mara ukague simu, kwa dunia ya leo utayokutana nayo utajua mwenyewe, kua na mahusiano ukiona yanashindikana achana nayo kabisa kwa amani, tatizo watu wanawekeza akili na ubongo kwenye mapenzi bila kujua mapenzi ni sanaa hivo binadamu atatafuta sanaa inayomfurahisha simple, na ni pande zote me na ke sababu zote zina hisia
 
Haya ndio matatizo ya kuwa na mwanamke mmoja. Ukiwa na mkeo then unadiversify risk kwa kuwa na kishtobe kingine, just incase.
 
Punguza ujuaji! Sio kila post lazima uchangie

ILI kuonekana unajua ambacho hukijui!

Nimekulia magereza, nimesomea na kuishi quarters za magereza..

Baba yangu yangu mkubwa akiwa cheo kikubwa tu....katika moja ya hayo magereza yanayohifadhi wahukumiwa wa kunyongwa.

Nikiwa miongoni mwa vijana wenye nidhamu kuliko vijana wake, maana nilikuwa yatima, alikuwa zaidi ya rafiki kwangu tulipiga story nyingi mno nazijua ambazo huzijui na pengine hutakuja kuzijua kamwe! Kuhusu hawa wafungwa wanaohukumiwa kunyongwa....

Wakati mwingine ni hekima kukaa kimya, kuliko kuonekana unajua ambacho hukijui....na wengi tu hawajui maisha ya hao watu gerezani.
Aisee!!
Nimefanya kazi Magereza kitambo nafikiri ukiwa kkinda kabisa. Nimekaa Uyui na nilkuwepo wakinyonga,nimeshuhudia wakinyonga.Kama umri wako hauruhusu kujua haya basi kuwa na adabu na soma tu walishuhudia.Najua ninachokiongea
 
Hizi hukumu hewa, hukumu jina tu, eti kunyongwa hadi kufa,

hukumu ambazo hazijawahi hata kutekelezwa, ni wakati sahihi zifutwe tu, ni kuogopesha watu tu kunyongwa hadi kufa huku uhalisia uliopo hiyo ni adhabu ya kifungo cha maisha tu..

Maana waliohukumiwa kunyongwa adhabu hizo hazijawahi kutekelezwa hata mara moja kama wenzetu saudia. Gerezani wanaishi kama peponi! Hawafanyi Kazi yoyote ila hawaonani na binadamu yeyote....nadhani huo upweke wanaokuwa nao unawatosha.
Thamani ya maisha ya binadamu ni uhuru.

Kuwekwa kwenye "cage" kama kuku anayesubiri wateja kwa maisha yote ni kugumu afadhali ya kitanzi.

Pia mtu kuwekwa Maisha "condemn" ni adhabu ya kisaikolojia kali mno kuliko ya kitanzi.

Ukisikiliza wengi wa waliohukumiwa kunyongwa, huomba mawili: wanyongwe haraka ama wabadilishiwe adhabu ya kifungo, ambayo ni bora kuliko kuishi na stress za kutokujua hatima yako maisha yako yote.
 
Mi siwezi ua wala kuuliwa kisa mapenzi, pesa.
Huwezi kuua kwa ajili ya mapenzi, lakini wewe waweza kuuliwa kwa ajili ya mapenzi.

Kabla haujafa kaika maisha haya, hauna uwezo wa kuzuia hulka za mtu mwingine kufanya jambo ovu juu yako.
 
Back
Top Bottom