mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Hayawezi kukukuta kama ukikuta wamekubandulia afu ukajibeba na kila kilicho chako ukaenda kuanza maisha mapya
Wazungu wasema move your ass for good[emoji38][emoji38]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayawezi kukukuta kama ukikuta wamekubandulia afu ukajibeba na kila kilicho chako ukaenda kuanza maisha mapya
😢😢😢Kuna hili la huyu mgoni oneni anachofanyiwaView attachment 2484918
haaa,,,ila wakati mwingine nafsi inamaamuzi magumu sana kuna watu wanajiua ukisikia sababu ya kujiua unachoka kabisa.Ukitumia akili huwezi muua mtu.
Sheria haikatazi kufanya mapenzi na mke au mume wa mtu; iko very silent kwenye suala hilo. Actually ni haki yako mkikubaliana. Ukimfumania mkeo au mumeo kuna taratibu za kufuata na sio kuua, kupiha, au kulawiti. Kutenda hayo ni kinyume cha sheria na ustahili adhabu kali.Ha haaa haaaa,umeiweka vizuri hii Bingwa
Adhabu atakayo pewa mgoni ni kulipa tena kiasi kidogo.Sheria haikatazi kufanya mapenzi na mke au mume wa mtu; iko very silent kwenye suala hilo. Actually ni haki yako mkikubaliana. Ukimfumania mkeo au mumeo kuna taratibu za kufuata na sio kuua, kupiha, au kulawiti. Kutenda hayo ni kinyume cha sheria na ustahili adhabu kali.
Hujafa hujaumbika. Siku ikifika hutaamini kitakacho tokea. Bora ukachagua kujinyamazia tu kimya kama sisi wenzako. Ila siyo kujiapiza.Mi siwezi ua wala kuuliwa kisa mapenzi, pesa.
NeverHujafa hujaumbika. Siku ikifika hutaamini kitakacho tokea. Bora ukachagua kujinyamazia tu kimya kama sisi wenzako. Ila siyo kujiapiza.
... na ndivyo sheria inavyotaka. Tutii sheria bila shuruti na sio kujitungia sheria zetu. Ukiona mwenza hakomi; mojawapo ya taratibu ni kuomba talaka na sio kumwaga damu.Adhabu atakayo pewa mgoni ni kulipa tena kiasi kidogo.
Ambayo ni laki moja.Adhabu atakayo pewa mgoni ni kulipa tena kiasi kidogo.
Mkuu umeamsha siku yangu upya! Zenji hii nini?Kuna hili la huyu mgoni oneni anachofanyiwaView attachment 2484918
Nakubaliana na wewe. Tena achaneni mapema sana. Unajua wanaoua hawapangi. Ni ufahamu unaondoka.... na ndivyo sheria inavyotaka. Tutii sheria bila shuruti na sio kujitungia sheria zetu. Ukiona mwenza hakomi; mojawapo ya taratibu ni kuomba talaka na sio kumwaga damu.
Huu ni udhalilishaji aisee daah.Kuna hili la huyu mgoni oneni anachofanyiwaView attachment 2484918
Au.... ukiua, ua kwa plan. Ukikaa na mwanasheria akakuandikia ''script'' ya kisheria ya jinsi ya kuua mgoni wako, unaweza usifungwe. Na hili la kulawiti... kama ukiamua basi fanya kwa mahesabu.Sheria haikatazi kufanya mapenzi na mke au mume wa mtu; iko very silent kwenye suala hilo. Actually ni haki yako mkikubaliana. Ukimfumania mkeo au mumeo kuna taratibu za kufuata na sio kuua, kupiha, au kulawiti. Kutenda hayo ni kinyume cha sheria na ustahili adhabu kali.
Alivyokuwa anatembea na wake za watu hakujua anadhalilisha waume zao? Mtu unatembea na mke wa mtu unakuwa hujui mwisho wake ni nini?Huu idhalilishaji aisee daah.
Vipi mwisho jamaa marinda yalisalimika kweli??