Dar: Dibron Saidi ahukumiwa kunyongwa kwa kosa la kumuua Mkewe Herieth Justine kwa kisu, ni baada ya kumfumania

Ha haaa haaaa,umeiweka vizuri hii Bingwa
Sheria haikatazi kufanya mapenzi na mke au mume wa mtu; iko very silent kwenye suala hilo. Actually ni haki yako mkikubaliana. Ukimfumania mkeo au mumeo kuna taratibu za kufuata na sio kuua, kupiha, au kulawiti. Kutenda hayo ni kinyume cha sheria na ustahili adhabu kali.
 
Adhabu atakayo pewa mgoni ni kulipa tena kiasi kidogo.
 
Sheria haikatazi kufanya mapenzi na mke au mume wa mtu; iko very silent kwenye suala hilo. Actually ni haki yako mkikubaliana. Ukimfumania mkeo au mumeo kuna taratibu za kufuata na sio kuua, kupiha, au kulawiti. Kutenda hayo ni kinyume cha sheria na ustahili adhabu kali.
Au.... ukiua, ua kwa plan. Ukikaa na mwanasheria akakuandikia ''script'' ya kisheria ya jinsi ya kuua mgoni wako, unaweza usifungwe. Na hili la kulawiti... kama ukiamua basi fanya kwa mahesabu.
 
Back
Top Bottom