Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 4,978
- 2,411
Jiji la das-es laam ni la ajabu sana.. Mtu anatekwa mchana kweupe wanamuangalia tu., π€π€π€
Duh aiseee
Haya mambo yameanza tena?
Mmmmm mwenzenu yuleee.....mnajuana code zenu mtu akienda chaka.....mnammaliza ?? Hakika hayuko salamaaa yuleHivi jamani hajapatikana mpaka leo
Miezi miwili imepitaMwezi mmoja umepita