Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 4,978
- 2,411
Kuna updates zozote wakuu? Alafu naona kama hii ishu familia pia wanataka iende kimya kimya, naamini kwa ajili kumuokoa wakiamini wanaweza kunegotiate na watekaji.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akiwa muslimu anadanganywa na wasaidizi wake, means ye hahusiki, akiwa Christian yeye ndio muuaji!!!??Hizi kauli ni dharau kwa Rais...
Rais ana sources nyingi sana za taarifa...
Ukisema anadanganywa inakua ngumu kuimeza...
Ukisema anatishwa, indirectly umetuambia Rais ni dhaifu, hili ni tusi kwa rais na sii utetezi.
Kwanini hao wakosaji wasihukumiwe na kufungwa jela badala ya kutekwa na kuuawa mkuu?Utekaji watu wenye malengo chanya ili kulinda maslahi mapana zaidi ya umma unapaswa kuendelezwa, lakini utekaji watu wenye nia ovu ya kutisha Watu watetezi wa HAKI Kamwe haupaswi kufanyika, badala yake unapaswa kukomeshwa mara moja na Wahusika wanapaswa kuwajibishwa Kisheria.
TANBIHI:- Ni kweli kwamba kuna baadhi ya Watu Wana sifa zote kabisa za kutakiwa kutekwa na kuangamizwa ili kuweza kulinda maslahi mapana zaidi ya umma. Mathalani, hao Mafisadi, wezi, Wala rushwa, Watekaji wahalifu wenye nia ovu Kama wale waliomteka Dkt.Ulimboka, Watu wanaoua watu wengine kwa makusudi na kwa ujeuri, wahalifu wengine wa hatari, n.k, hao wote wanakidhi vigezo vya kuweza kutekwa na kushughulikiwa ipasavyo ili kulinda maslahi mapana zaidi ya umma/raia wema.
Nahisi hii ndio ilikuwa point yake.Au unataka kusema nchi haina Rais?
Kwanini hakulock milango ya gsri lakeNimepokea taarifa usiku huu kutoka kijijini Kishanje, Bugabo Bukoba, akitaarifu kutekwa kwa kijana Danstan Daudi Mutajura (pichani juu) anayefanya kazi Jijini Dar es Salaam.
Dastan ametekwa jana majira ya saa 4 asubuhi maeneo ya Sigara, TANESCO, Buza Jijini Dar es Salaam wakati akienda kazini kwake akitokea nyumbani kwake eneo la Kitunda, Jijini Dar es Salaam.
Kupata matukio ya nyuma kuhusu watu wasiyojulikana ingia hapa: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
Dastan ametekwa na WATU WASIOJUKIKANA baada ya gari alilokuwa akiendesha (T.109 DYV) aina ya Mercedes Benz C300 kuzuiwa kwa mbele na gari la watekaji.
Baadaye gari la Danstan liliokotwa na kupelekwa Kituo cha Kidogo cha Polisi cha Buza na kuandikishwa kama MALI YA KUOKOTWA RB NO. BZA/RB/53/2025
Madereva wa bodaboda walioshugudia tukio hilo wamesema Danstan alinyofolewa kutoka kwenye gari lake na kufungwa Kitambaa usoni akilalamika kuwa alikuwa akitekwa.
View attachment 3192960
Noma sana hiyo!!Mtoto wa kishua kivipi? Mtu kapambana mwenyewe
Kwa sababu Watu hao ni WASALITI WAKUBWA SANA KWA NCHI, KWA WANANCHI WENZAO PAMOJA NA USALITI MKUBWA SANA DHIDI YA MASLAHI MAPANA ZAIDI YA WANANCHI WENZAO. Hao ni WAHAINI, hivyo hawapaswi kabisa kuonewa huruma kwa sababu wamejikana wao wenyewe katika kustahili kupatiwa nafasi ya Haki za binadamu. Uhaini ni Kosa kubwa zaidi kuliko makosa mengine yote ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hii ni kwa mujibu wa Ibara ya ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 iliyopo hivi Sasa.Kwanini hao wakosaji wasihukumiwe na kufungwa jela badala ya kutekwa na kuuawa mkuu?
Ila ukichunguza kwa umakini na kusoma wasifu binafsi (CV) ya huyo mtu unaweza kubaini pasipo kuacha shaka kwamba ni mtu wa tiss, hili liko wazi kabisa, Wala hata hakuna kificho.Narudia tena naamini kuna mazungumzo yanaendelea kati ya ndugu au familia na wasiojulikana na vyombo vingi vimepigwa pin visireport hii habari ili kupunguza tensheni kwenye hii ishu.
Niliona hata jinsi familia walivyohandle situation inaonekan hivyo, mke wake hakutaka kuongea chochote na ndugu wamekatazwa kuzungumzia ishu.Ila ukichunguza kwa umakini na kusoma wasifu binafsi (CV) ya huyo mtu unaweza kubaini pasipo kuacha shaka kwamba ni mtu wa tiss, hili liko wazi kabisa, Wala hata hakuna kificho.
Niliona hata jinsi familia walivyohandle situation inaonekan hivyo, mke wake hakutaka kuongea chochote na ndugu wamekatazwa kuzungumzia ishu.
Kama sikosei watangazaji wa mwananchi walienda eneo la tukio, ndiyo nilisikia hivyo na hata mke alipokuwa anaulizwa kazi ya mume wake hakutaka kujibu.
Mkuu naona kichwa chako hakiko sawa. Nakuacha. Nikiendelea kukujibu nitakula ban sasa hivi.Kwa sababu Watu hao ni WASALITI WAKUBWA SANA KWA NCHI, KWA WANANCHI WENZAO PAMOJA NA USALITI MKUBWA SANA DHIDI YA MASLAHI MAPANA ZAIDI YA WANANCHI WENZAO. Hao ni WAHAINI, hivyo hawapaswi kabisa kuonewa huruma kwa sababu wamejikana wao wenyewe katika kustahili kupatiwa nafasi ya Haki za binadamu. Uhaini ni Kosa kubwa zaidi kuliko makosa mengine yote ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hii ni kwa mujibu wa Ibara ya ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 iliyopo hivi Sasa.
Niliwahi kusikia dereva wa samia ana ghorofa huku kitunda maana nilishangaa chali ana ghorofa anapiga mishe gani?nimeuliza huyo danstan anafanya shuguli gani!
Je ni mfanyabiashara au ni mwanaharakati..naona sipati majibu
Ova
Sadaka au kafara wakati mwingine huwa inakuwa haiepukiki ili kuweza kulinda maslahi mapana zaidi ya ummaMkuu naona kichwa chako hakiko sawa. Nakuacha. Nikiendelea kukujibu nitakula ban sasa hivi.
Siku wewe au mama yako mkitolewa kafara ndipo akili zitakurudia. Jifanye chizi kwanza.Sadaka au kafara wakati mwingine huwa inakuwa haiepukiki ili kuweza kulinda maslahi mapana zaidi ya umma
Mama yangu siyo mtu mhalifu, siyo fisadi, siyo mwizi, siyo muuaji wa makusudi kwa ujeuri, siyo mtekaji wa watu wanaomkosoa, siyo haini. Hivyo, amekosa kabisa sifa na vigezo vya kuweza kuwa mbuzi wa kafara.Siku wewe au mama yako mkitolewa kafara ndipo akili zitakurudia. Jifanye chizi kwanza.
Utakuwa umezaliwa juzi mkuu!! Utekaji upo tangu serikali ya awamu ya kwanza. Pia utekaji ni moja ya mbinu za medani za kuwashughulikia wanaochezea dola/serikali duniani kote. Muulize Snowden wa Marekani aliyekimbilia Urusi atakumbia vizuri.Kikwete aliteka lakini hakuwahi kuua? Je, kwa kuwa Kikwete aliteka kwa hiyo ni halali utekaji na uuaji kuendelea?
Kikwete alimuua nani mkuu?Utakuwa umezaliwa juzi mkuu!! Utekaji upo tangu serikali ya awamu ya kwanza. Pia utekaji ni moja ya mbinu za medani za kuwashughulikia wanaochezea dola/serikali duniani kote. Muulize Snowden wa Marekani aliyekimbilia Urusi atakumbia vizuri.
Mbona mafisadi wamejaa ndani ya CCM lakini hawauawi mkuu?Mama yangu siyo mtu mhalifu, siyo fisadi, siyo mwizi, siyo muuaji wa makusudi kwa ujeuri, siyo mtekaji wa watu wanaomkosoa, siyo haini. Hivyo, amekosa kabisa sifa na vigezo vya kuweza kuwa mbuzi wa kafara.