Dar: Dunstan Daudi Mutajura adaiwa kutekwa eneo la Buza

Dar: Dunstan Daudi Mutajura adaiwa kutekwa eneo la Buza

Kikwete aliteka lakini hakuwahi kuua? Je, kwa kuwa Kikwete aliteka kwa hiyo ni halali utekaji na uuaji kuendelea?
Hakuna awamu ya Utawala hata moja hapa Tanzania ambayo haijawahi kuteka watu, kuua watu au kuwafanyia watu uharamia. Hakuna kabisa.

Remember:-
"Any government is an organ of exploitation by nature."
Mikhail Bukanin
 
Kwa hiyo kwa kuwa utekaji ulianza tangu zamani uendelee tu mkuu?
 
Kwa hiyo kwa kuwa utekaji ulianza tangu zamani uendelee tu mkuu?
Utekaji watu wenye malengo chanya ili kulinda maslahi mapana zaidi ya umma unapaswa kuendelezwa, lakini utekaji watu wenye nia ovu ya kutisha Watu watetezi wa HAKI Kamwe haupaswi kufanyika, badala yake unapaswa kukomeshwa mara moja na Wahusika wanapaswa kuwajibishwa Kisheria.

TANBIHI:- Ni kweli kwamba kuna baadhi ya Watu Wana sifa zote kabisa za kutakiwa kutekwa na kuangamizwa ili kuweza kulinda maslahi mapana zaidi ya umma. Mathalani, hao Mafisadi, wezi, Wala rushwa, Watekaji wahalifu wenye nia ovu Kama wale waliomteka Dkt.Ulimboka, Watu wanaoua watu wengine kwa makusudi na kwa ujeuri, wahalifu wengine wa hatari, n.k, hao wote wanakidhi vigezo vya kuweza kutekwa na kushughulikiwa ipasavyo ili kulinda maslahi mapana zaidi ya umma/raia wema.
 
Back
Top Bottom