Dar: Dunstan Daudi Mutajura adaiwa kutekwa eneo la Buza

Dar: Dunstan Daudi Mutajura adaiwa kutekwa eneo la Buza

Narudia tena naamini kuna mazungumzo yanaendelea kati ya ndugu au familia na wasiojulikana na vyombo vingi vimepigwa pin visireport hii habari ili kupunguza tensheni kwenye hii ishu.

Unadhani kwanini hawazungumzi? Jamaa ni KITENGO ,kazi hizo ni risk sana!! Yaani Kifo nje nje ukienda tofauti kidogo tu nao.
 
Kwani Ka-flag alimtaja? Au wamehisi kuna baadhi ya info alimpa Ka-flag?
........!!! Hata Maria huko Ke....zile simu za maria ni ka flag connection na informer wao kitengoni wanataka wajue hao wasaliti.....wa mfumo ! Wataua wengi sana kwenye hilo....huyo jamaa huyo sijui....watamla kichwa....ma home boy usisahauuuu
 
Huyo lazima aliwe kichwa au kashaliwa ,ukienda against basi inabidi ukimbie nchi kama alivyofanya chahali.
 
Unakumbuka alilekwa yule binti wa kiarabu msasani peninsula
Waliyomteka walitaka hela kutoka kwa mzee wake ,na ili9nesha kama mzee wa hyo binti alikuwa ana daiwa hela na mmoja wa watekaji,ila mwisho wa siku alipatikana na jamaa walidakwa

Utekaji ambao upo sahv ni wa watu kudhulumiana,hata watu wakijuwa una mpunga umepiga dili una hela watu wanakutimbia
Watu wanapita na upepo huo huo wa watu wa mfumo kuteka

Ova
Very rare cases, kwa Africa utekaji wa kutaka ransom uko common Nigeria tu. Huku ninapoishi naishi na Wapopo wengi hivyo huwa wanasimulia sana matukio ya kwao ilhali kwetu mostly wanaotekwa ni critics wa serikali na chama tawala, yaani lazima kunakuwa na connection na siasa au issues za human rights.
 
Back
Top Bottom