Dar es Salaam bila kitambaa hutoboi

Dar es Salaam bila kitambaa hutoboi

Watu wa Dar es salam kwa kulalamika hongereeni juzi Hapa mlikuwa mnalalamika mvua Leo hii mnalamika jua ndio Mungu wenu ambae mm rafiki angu kajificha kuogopa lawama zenu
 
Muda kama huu wanawake wenye matako makubwa huwa wananuka nnya si mchezo!! Jasho huwa linawatoka balaaah
 
Mm nimekuelewa kivingine kabisa.
"Dar bila wataalam hutoboi, mafanikio utayaona kwa wengine tu, biashara utakuwa unafungua lkn hazidumu au kufanikiwa zaidi".
 
Ko umekaa ukawaza ndo ukaja na suluhisho la joto dar kwamba ni kutembea na kitambaa? Masikini wanaokaa mjini wanateseka Sana kwa sababu eneo lao la kuishi ni vijijini lakini wamepakimbia
 
Sasa sisi wenye vipara ni huruma ukikamuwa uso Kwa vidole kuanzia kichwani kuja usoni unamwaga Bomba la maji hatari,Hapo Sasa ndo unapitisha kitambaa kupiga polishing.Bila hivo vitambaa vote vitalowa uwe unavikamuwa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mwanaume hatakiwi kutembea na kitambaa au kujifuta na taulo, baada ya kuoga au kutokwa jasho unajitingisha tu kama afanyavyo Mbwa.

😎
I never saw it coming,, Nimecheka sana yaani na hivi ninayo mijibwa kama ndama halafu nikaipicture hii kauli yako..Daah
 
Back
Top Bottom