Mkuu NDINDA na wadau wengine naomba tuwekeeni uptodate za daraja la Kurasini Kigamboni.
After a week of hard work, where do you want to go to have a relax?
Someone will choose cinema, someone will choose restaurant, however most of people will choose stay at their own home.
Built a warm and high quality home for you! All the requirement about home will come true. Here, AVIC TOWN, home.
Reserve Now win 1% discount!
Contact us: +255 766189999,+255 763500999
City Sales Office : Plot No.2470/5, SEA VIEW APARTMENT,Seaview Rd,Nr Aga Khan Hospital, Upanga
Wajumbe Bodi ya Wakurugenzi NSSF Watembelea Ujenzi Mradi wa 'Dege ECO Village Kigamboni'
WAJUMBE wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) wametembelea mradi wa ujenzi wa nyumba za kisasa unaojulikana kwa jina la Dege ECO Village unaojengwa eneo la Kigamboni nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
Ujenzi huo wa mji wa kisasa ambao utakuwa na nyumba za kuishi za kisasa za watu wa kipato cha kati unajumuisha ujenzi wa nyumba zaidi ya 7,000 zikiwa na huduma zote za kujamii eneo moja.
Akizungumzia mradi huo mkubwa unaotekelezwa kati ya NSSF kwa ushirikiano na kampuni ya Azimio, Meneja Miradi wa NSSF, Mhandisi John Msemo aliwaeleza wajumbe wa Bodi ya shirika hilo kuwa ujenzi wa makazi hayo ya kisasa kwa wananchi wa kipato cha kati unaendelea vizuri.
Alisema eneo hilo litakuwa na nyumba bora na za kisasa zikiwa na huduma zote za msingi kwa jamii kama maduka, shule, hospitali, masoko, viwanja vya michezi, kituo cha polisi, kituo cha zimamoto, eneo la ujenzi wa majengo ya ibada, majengo ya burudani pamoja na miundombinu ya kisasa ya maji safi na maji taka.
Alisema ujenzi wa mradi huo wa kisasa utakapokamilika utakuwa na uwezo wa kuchukua watu takribani elfu 30 ambao watapata makazi bora na ya kisasa katika eneo hilo la Kigamboni.
Akifafanua zaidi Mhandisi Msemo alisema ujenzi wa nyumba hizo utakuwa na awamu tatu; ambapo awamu ya kwanza itakamilika mwaka 2016 ikiwa na nyumba 2,500, huku awamu ya pili ya ujenzi itakamilika 2017 ikiwa na nyumba bora na za kisasa 2,500. "…Awamu ya tatu tunatarajia ikamilike mwaka 2018 hii itakuwa na nyumba 2,460," alisema Meneja Miradi wa NSSF, Mhandisi Msemo akifafanua zaidi kwa waandishi wa habari juu ya mradi huo.

The deck is starting to take shape :|
The two towers standing tall
I guess this is the median strip that will divide the carriageway.
Images credit: Rweyunga Blog Rweyunga Blog: WAZIRI CHIZA ATEMBELEA MIRADI YA UWEKEZAJI INAYOFANYWA NA NSSF JIJINI DAR ES SALAAM