Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu acheni kujidanganya hapa. Wekeni picha za ukweli. Be real.
![]()
Ndiyo maana adhabu ipo kwa wabishi.Picha hii umeipigaje wakati ilikuwa ni marufuku kupiga picha eneo lolote la Tazara...
Tatizo nini hapoNdiyo maana adhabu ipo kwa wabishi.
Polepolebado sana
Kasema kupiga picha Tazara ni marufuku nikasema ndiyo maana adhabu zipo kwa wabishi.Tatizo nini hapo
tatizo nini ndugu kupelekea marufuku hapo tazara?Kasema kupiga picha Tazara ni marufuku nikasema ndiyo maana adhabu zipo kwa wabishi.
Sasa hilo swali lako hebu kapitie notes zako za civics form 2 kama ulisoma huko.tatizo nini ndugu kupelekea marufuku hapo tazara?
Ramada 5 Star Hotel, Kunduchi Dar es Salaam
![]()
![]()
![]()
![]()
Hii ni real au concept?
Hii ni real au concept?[/QUO
Nadhani Ndinda kapiga hizi picha kwa kuwa katika hali ya HDR,HDR ni upigaji picha za aina tatu au zaidi kwa pamoja kwa mfano picha ya kwanza inakuwa katikati yaani mwanga wake unakuwa 0 na ingine ya pili inaweza ikawa ina mwanga zaidi au pungufu kwa mfano -2 na ingine ikawa +2,halafu picha zote tatu unazichanganya kwenye photoshop au software za kuchanganya picha kama vile Photomatix,na matokeo yakawa kama hiyo picha inavyoonekana,upigaji huu wa picha hufanywa sana na wapiga picha wa ndani ya majumba,landscapes n.k
ishafunguliwa longtime....hivyo uonavyo ndio ilivyo! kuna lounge bar humo weekend kuko poa sana!
Nilipeleka familia last weekend..ni pazuri lakini wanahitaji kuongeza weledi kwenye service. The food is not value for money. na wahudumu bado wanafanya uswahili Swahili tuouzoea huko Sinza na kwingineko. Ila naamini kwa sababu ndo wanaanza labda wataongeza bidii. Ila in all I enjoyed THE experience.
ishafunguliwa longtime....hivyo uonavyo ndio ilivyo! kuna lounge bar humo weekend kuko poa sana!
Nipe direction ya kwenda, pazuri sana mkuu
Iko next to giraffe kabla hujafika White sands hotel