Dar es Salaam City in Photos

Dar es Salaam City in Photos

The view from Kariakoo

11240781_1665597083659606_4821150526543102250_n.jpg

11391309_1665597096992938_6769003929460283847_n.jpg

11406933_1665597066992941_7729607401343563025_n.jpg
 
Hebu acheni kujidanganya hapa. Wekeni picha za ukweli. Be real.

Tazara%2BRailway%2BStation%2Bin%2BDar%2BEs%2BSalaam%2C%2BTanzania%2Bby%2BUrban%2BNomads%2BP%C3%A4ivi%2B%28Paivi%29%2Band%2BSanteri.JPG

Picha hii umeipigaje wakati ilikuwa ni marufuku kupiga picha eneo lolote la Tazara...
 
tatizo nini ndugu kupelekea marufuku hapo tazara?
Sasa hilo swali lako hebu kapitie notes zako za civics form 2 kama ulisoma huko.
Maana ni gumu sana ni sawa na kuuliza eti Lowasa atapitishwa na CC?😛oa
 
Hii ni real au concept?[/QUO
Nadhani Ndinda kapiga hizi picha kwa kuwa katika hali ya HDR,HDR ni upigaji picha za aina tatu au zaidi kwa pamoja kwa mfano picha ya kwanza inakuwa katikati yaani mwanga wake unakuwa 0 na ingine ya pili inaweza ikawa ina mwanga zaidi au pungufu kwa mfano -2 na ingine ikawa +2,halafu picha zote tatu unazichanganya kwenye photoshop au software za kuchanganya picha kama vile Photomatix,na matokeo yakawa kama hiyo picha inavyoonekana,upigaji huu wa picha hufanywa sana na wapiga picha wa ndani ya majumba,landscapes n.k
 
ishafunguliwa longtime....hivyo uonavyo ndio ilivyo! kuna lounge bar humo weekend kuko poa sana!

Nilipeleka familia last weekend..ni pazuri lakini wanahitaji kuongeza weledi kwenye service. The food is not value for money. na wahudumu bado wanafanya uswahili Swahili tuouzoea huko Sinza na kwingineko. Ila naamini kwa sababu ndo wanaanza labda wataongeza bidii. Ila in all I enjoyed THE experience.
 
kusema kweli tunatazio kubwa sana kwenye customer service nchi hii.
 
Back
Top Bottom