Dar es Salaam City in Photos

Dar es Salaam City in Photos

Beautiful Airport Terminal

Day time

Architecture-76.jpg

Architecture-75.jpg

Architecture-67.jpg

Architecture-66.jpg

Architecture-68.jpg

Architecture-62.jpg

Architecture-57.jpg

Architecture-58.jpg

Architecture-56.jpg

Architecture-63.jpg

Architecture-74.jpg

Architecture-72.jpg

Architecture-69.jpg

NIGHT

Architecture-78-1.jpg

Architecture-80-1.jpg
 
Harakati za ujenzi zimefubaa. Mijitu mingine ni nuksi, imezaliwa na kufa maskini.
Mkuu usiseme hivyo hata kidogo maana anachofanya magufuli kwa maana ya miundombinu na mambo mengine ni makubwa sana. Ujenzi wa majengo hasa haya ma-skyscrapers lazima pia uendane na upatikanaji wa umeme wa kutosha na wa uhakika, maji, huduma nzuri za usafiri na mengine mengi. Mambo anayoyafuanya magufuli kama yatakamilika nina uhakika yatachochea kwa haraka zaidi hata huo ujenzi wa majengo hasa kwenye majiji yetu makubwa. Ni ngumu sana kwa wengi wetu kumwelewa anachofanya huyu mzee ila am sure time will tell na pengine tutamkumbuka zaidi kipindi hicho akiwa amepumzika kutoka kwenye urais. Miradi ya matrillion anaoitekeleza kwa manufaa ya taifa kama hizo fedha zingejenga skyscrapers CBBD ya dar ingejaa skyscrapers! Lakini skyscrapers pekee huku huduma nyingine zikiwa mbaya itasaidia nini? Najua hawezi kumaliza changamoto zote za nchi hii au dar kwa kipindi chake lakini atakuwa ameacha mahali pazuri pa kuendeleza nchi yetu kwa viongozi wa nchi watakaofuata baada yake.
 
Hayo unayosema ni kweli. Lakini nani kakuambia ni lazima biashara zife ndiyo tupate umeme? Harakati za ujenzi zimefubaa kutokana na siasa za makusudi kabisa za kuwavunja moyo wafanyibiashara binafsi, ambao ndiyo walikuwa injini ya ujenzi. Badala yake kuipa sura mbaya nchi yetu ya kuwa mahali pabaya pa kufanya biashara. Si hata kodi zinazotozwa kwa hekima na kwa uadilifu zingewafukuza wafanyibiashara, na wala si kupambana na rushwa kungewafukuza wafanyibiashara wengi, ingetumika busara.
 
Mkuu usiseme hivyo hata kidogo maana anachofanya magufuli kwa maana ya miundombinu na mambo mengine ni makubwa sana. Ujenzi wa majengo hasa haya ma-skyscrapers lazima pia uendane na upatikanaji wa umeme wa kutosha na wa uhakika, maji, huduma nzuri za usafiri na mengine mengi. Mambo anayoyafuanya magufuli kama yatakamilika nina uhakika yatachochea kwa haraka zaidi hata huo ujenzi wa majengo hasa kwenye majiji yetu makubwa. Ni ngumu sana kwa wengi wetu kumwelewa anachofanya huyu mzee ila am sure time will tell na pengine tutamkumbuka zaidi kipindi hicho akiwa amepumzika kutoka kwenye urais. Miradi ya matrillion anaoitekeleza kwa manufaa ya taifa kama hizo fedha zingejenga skyscrapers CBBD ya dar ingejaa skyscrapers! Lakini skyscrapers pekee huku huduma nyingine zikiwa mbaya itasaidia nini? Najua hawezi kumaliza changamoto zote za nchi hii au dar kwa kipindi chake lakini atakuwa ameacha mahali pazuri pa kuendeleza nchi yetu kwa viongozi wa nchi watakaofuata baada yake.
Skyscrapers nyingi zilikuwa ni za private sector mkuu,kariakoo hakuna ghorofa la serikali ,now hakuna mwenye jeuri ya kuwekeza kwenye majengo mskubwa maana yale ya serikali kule posta ni kambi za popo na buibui watu wako dodoma,mbaya zaidi posta kuna wauza mihogo wanatumia kuni aiseee
 
Back
Top Bottom