Chilipamwao
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 523
- 128
cha ajabu ni kwamba wapo nje kila siku, sijui hawaoni kule wanakoenda, au hata hawatamani na kwao pawe vile, kazi kweli kweli
Asante kwa taarifa mkuu, itabidi nijipitishe. Nao wanafungua kimya kimya, hata matangazo!limeshafunguliwa mkuu, kaoshe macho,
Asante kwa taarifa mkuu, itabidi nijipitishe. Nao wanafungua kimya kimya, hata matangazo!