Dar es Salaam City in Photos

Huyu mshua anapost mambo ya Nairobi..anatuharibia uzi.aanzishe thread ya Nairobi tafadhali.
 

Kuna walio dharau hizi nyumba za matope na paa za makuti, hata waliposikia kuna anaeuza nyumba wasiweze kununua japo uwezo walikuwa nao. Leo hii ardhi ya hapa ni dhahabu a kama ulinunua itawatunza hata vitukuu vyako.

Mabadilikoa katika maisha hayazuiliki.
 
Mbona kama vile kuna. Mkutano. Sokoni watu husimama namna hiyo? Hatuoni hata kikapu wala mfuko wala wauzaji
 
mnapiga posta tyuuu!! pigeni na kibonde maji huko!! tandika! kwa azizi ally kuleee!! kawe bondeni nyambaf zenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…