Dar es Salaam: DACOBOA Wakutana na Uongozi wa TRA kujaili masuala ya kikodi

Dar es Salaam: DACOBOA Wakutana na Uongozi wa TRA kujaili masuala ya kikodi

TRA Tanzania

Senior Member
Joined
Jul 16, 2022
Posts
128
Reaction score
370
TRA NA DACOBA 3.jpg
Viongozi wa Chama Cha Wamiliki wa Daladala Dar es Salaam (DACOBOA) wamekutana na Viongozi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) leo 10 Desemba, 2024 kutoka Idara ya Elimu kwa Mlipakodi na Mawasiliano na kufanya nao mazungumzo kuhusu masuala mbalimbali ya kikodi kuhusu usafirishaji wa abiria ndani ya Jiji la Dar es Salaam.
 
Back
Top Bottom