By the way ushagundua CBD yao imejaza ma apartments za watu kuishi..Central Business District.., but from the context ya mleta mada, kwa vile ata yeye anavyo andika najua haelewi maana ya CBD, na kwa akili za wengi humu , ina angaliwa kama modern developed areas within the city, yaani the town look within the city.., sio makazi yenyu ya kishamba ambayo ni kubwa zaidi., yaani ni kwa mtazamo wa waAfrika.., ndio maana mnapenda kuweka vipicha angles zote.., ata za apartments..,