Dar es Salaam has big CBD than Nairobi but a tiny Nairobi CBD is more organized

Nairobi ina zaidi ya slums kubwa size ya Kibera 21

 
Nilijua kilaza atafika humu aje kukojolea uzi akiona ukweli umeanikwa, lazima utafute pa kutokea.., Dar is slum yoote..,CBD pekee ndio nafuu, makazi ya kishamba 2021., hii ndio makazi ya middle class.. na watu wa kawaida wenye nafuu Dar is slum,,
Nenda ukalilie kwa choo, Dar ni mji fukara., liko wazi sana..,




Maisha ya kawaida., not extreme eti., hii ndio average standard.,



Pwani ya Dar is slum..,



 
Keko mwanga..,

Temeke..,

Maisha ya kifukara ya mashambani mjini..,



Tukiweka aerial view, ni Dar yoote inaonekana hivi kwa ukubwa., CBD inaficha aibu..,
 
Nairobi, kenya
See Nairobi from the street level


Source : vinsoulworld

Kuna eneo lao Zuri la kutembea kwa miguu sema haijachukua muda limechakaaa kama lilivyokua awali.
Lilikua hivi





Wakali improve likawa hivi. Safi na lina Markings. Fresh.



Sasa hivi [emoji1787] marking zimefutika na ranginya lami imebadilika. Je huu uchafu umetoka wapi? Umeletwa na tope za tairi kutoka barabara za Tope? Au hazifanyiwi usafi na kurushishia ? Watu gani matajiri hawajui kutunza vitu vyao hivi?







Hiki ni gari la Taifa nini huko? Hulikosi [emoji1787].




Kama mna muda angalieni mitaa ya watu wenye adabu zao na mazingira na Utu [emoji41]

 
Mkipata mitaa kama hizi za kawaida spread kwa wingi Dar tafadhali nitag..,
 
Mitaa za kawaida sana.., Eastlands, sehemu ambapo 60% ya Nairobians live..,
 
Nje ya Nairobi CBD, Nairobi metro zones.., outskirts kabisaa mitaa na makazi ya watu.., aerial view bila aibu..,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…