Dar es Salaam has big CBD than Nairobi but a tiny Nairobi CBD is more organized

Tanzania nipe jibu,.., weka ni weke.., makazi yenyu drone view.., moja kwa moja kama nilivyo fanya., hadithi zaq vijiweni hatutaki.., na vijisababu pia kando..,

Kibera hiyo hapo kwa hiyo clip pia kwa wapenda Kibera kama Naton na 007.., now leta makazi ya Dar..,
 
Kenya tunaanika wazi.., Tanzania ni zamu yenyu..,
 
Leta vya Dar es salaam., moja kwa moja.., clips za kujibu above clips nimepost za residential different estates and more coming..,
 
Nairobi is well planned with a lot of straight streets, only a few areas need to be replanned. In future as our economy grows, it will be easier to build basic infrastructure and map out street addresses. ATTACH=full]1846149[/ATTACH]

Meanwhile pale Dar a very big unplanned urban sprawl. They will have to do a lot of demolitions for them to great it right.

Picha za google zinawadanganya saa nyingine. Hapo Vingunguti pamoja na kuchoka kwake ila sasa hivi karibu asilimia 80 kuna barabara za mitaa na taa wameweka za barabarani (hii hata Masaki hakuna).
I will assume hujui Google hutumia satellites to relay data for Google Maps. Kwanza make yourself knowledgeable kisha urudi na points zinaeleweka.
 
Wakiambiwa ukweli hawapendi, kuna mkunya mmoja eti anafananisha Nairobi na Dar kwa ukubwa, utakuta anaweka vipicha vyake vya Kisutu eti ndo analinganisha na Dat [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Zaidi ya nusu ya Nairobi ni pori na mbuga, unataka kushindana na jiji ambalo ni most urbanized [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
I will assume hujui Google hutumia satellites to relay data for Google Maps. Kwanza make yourself knowledgeable kisha urudi na points zinaeleweka.
Nakwambia ninachokiona mtaani sio google maps zinasemaje. Kama kuna ndugu yako huku mwambie aende leo vingunguti kama hatokuta barabara za mitaa na taa za barabarani mitaani. Hilo eneo limebadilika sana kwa sasa.
 
Kwa hivyo Google maps satellites zinadanganya yet it's a 2021 update? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nakwambia ninachokiona mtaani sio google maps zinasemaje. Kama kuna ndugu yako huku mwambie aende leo vingunguti kama hatokuta barabara za mitaa na taa za barabarani mitaani. Hilo eneo limebadilika sana kwa sasa.
Kwa hivyo Google Maps wanadanganya tu ikija kwenye picha za Dar? Mbona hampendi uhalisia?
 
Nina mashaka kama hapo ni Dar. Jangwani hakupo hivyo wala mkwajuni bondeni pale hakupo hivyo na hayo ndio maeneo ya bondeni yaliyo karibu na mjini.
Hautakuwa mtanzania wa kwanza kukana picha za Dar na najua hautakuwa wa mwisho. Hata kwenye ule uzi nyingine ya Dar vs Nairobi, watanzania wanakana picha za Dar usiku na mchana. Ni vigumu sana kuona mkenya akikana picha za kibera na maeneo mengine ya mabanda kwa sababu sisi tunakubali mapungufu yetu. Ila nyie!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…