Dar es Salaam: House girl amshtaki bosi wake kwa kutomlipa mshahara kwa miaka Mitano

Dar es Salaam: House girl amshtaki bosi wake kwa kutomlipa mshahara kwa miaka Mitano

Kuna watu wanapata wadada wema na wanawalipa pesa wengine tunalipa 70+ na bado wasumbufu unamleta akifika mjini anageuka unakaa vp mtu miaka 5 humlipi eti hali ya maisha imebadilika si ungemruhusu akatafute kazi kwingine yeye sasa aamue kwamba atakaa na wewe kama ndugu.

Shangaa na wewe na bado unatumia hata kile kidogo chake kweli asiye nacho, hata kile anachodhani kuwa anacho atanyang'anywa.

Tumekosa utu.
 
Zuhura Ramadhani ambaye ni dada wa kazi za ndani amemshitaki mwajiri wake Khadija Katusi Muoza katika Serikali za Mtaa wa Mpiji Mahoge Jijini Dar es Salaam akidai kutolipwa mshahara wake kwa muda wa miaka mitano...
Khadija hana utu! Zuhura kajitolea maisha yake yote, kwa mshahara wa Tshs 35,000/= kwa mwezi ambayo nayo akilipwa, baadae anaombwa atoe kuihudumia familia. Ila watoto wake, shule wanakwenda, sidhani kama kuna elimu ya bure!! Wasaidizi wa ndani pasua kichwa, huyu hapa kampata mwema Ila yeye anamtumia vibaya (abuse).
 
shangaa na wewe na bado unatumia hata kile kidogo chake[emoji3525] kweli asiye nacho, hata kile anachodhani kuwa anacho atanyang'anywa.

Tumekosa utu.
Nashangaa hali imebadilika mpaka dada unamuazima pesa ya mahitaji si hauna uwezo tena bora kumruhusu tu akatafute ridhiki kwingine au anaishi nae kama ndugu huku mdada anatafuta kibarua cha kufanya anatoka anarudi jioni kwa kweli alipe tu hata kama kuuza kitu chake.
 
Atleast amekiri anadaiwa..
Wengine wanaruka kabisa..
Cha ajabu hao wasichana WA singida ...kuna nyumba wanalipwa kila mwezi na still hawakai mwaka
Yaani mie Wasambaa Wanyaturu sina hamu 🙌nilimtoa mdada Singida hafanyi kazi mie ndo nafanya kazi na mimba yangu ya kuzaa nikaona hapana nikaongea nae ajirekebishe akasema yeye aliambiwa kuna kazi dar ya Bar nauli hana aliposikia nataka mdada kwa shoga yake akaona aje apate kufika dar ila kazi za ndani haitaji basi nikamruhusu nikampa mshahara wa wiki 2 alizokaa tukaagana kiroho safi mpaka leo anakuja kwangu kusalimia akikaa anakuja Dada nimekuja kukuona kapendeza na kaweupe ka kinyaturu na shape MashaAllah mji umemkubali.
 
Yaani mie Wasambaa Wanyaturu sina hamu [emoji119]nilimtoa mdada Singida hafanyi kazi mie ndo nafanya kazi na mimba yangu ya kuzaa nikaona hapana nikaongea nae ajirekebishe akasema yeye aliambiwa kuna kazi dar ya Bar nauli hana aliposikia nataka mdada kwa shoga yake akaona aje apate kufika dar ila kazi za ndani haitaji basi nikamruhusu nikampa mshahara wa wiki 2 alizokaa tukaagana kiroho safi mpaka leo anakuja kwangu kusalimia akikaa anakuja Dada nimekuja kukuona kapendeza na kaweupe ka kinyaturu na shape MashaAllah mji umemkubali.
Ngoja akuchukulie bwana.unazoeana nae kama nani sasa?? Sio kila mtu wa kumualika kwenye maisha yako mji mgumu. Huu
 
Ngoja akuchukulie bwana.unazoeana nae kama nani sasa?? Sio kila mtu wa kumualika kwenye maisha yako mji mgumu. Huu
Amchukue huyo mume kwani kawa toy😁halafu mume wangu ana type zake sizo hizo za Dada,ni mtu ana heshima zake na anajitambua kashamaliza ujana yupo umri wa kukaribia kustaafu sio wa kuhangaika na binti wa miaka 20,japo wapo wazee wa hovyo ila sio huyu mpaka wanasema nimemroga 😁😁😁wapo wadada walokuwa wakijilengesha anakuja mwambie mdada wako awe na nidhamu aniletea pigo sio mie namuona kama mwananagu (alikuwa aniambia tuwajali muonekano so akawa anawapa pesa za saloon mavazi lotion nje mshahara wapo walohisi baba anahonga anawataka)ndo akawa analalamika kuna mmoja sijui alipata wapi namba akawa anapiga simu hazieleweki shida zake anamwambia baba mie sijui mpaka kuna siku a kaniambia Dada umemleta wewe naomba apitie kwako wewe ndo uniambie 😁na ubaya mume wangu tunafanya kazi pamoja tupo wote 24/7 😁kama kuchepuka na nafasi kubwa ya kuchepuka kuliko yeye, mpaka husema wife ujue wewe mtu wa Kigoma au umeniroga kweli mbona sitamani madem wa nje na pisi kali zinajileta 😁🤣
 
Amchukue huyo mume kwani kawa toy[emoji16]halafu mume wangu ana type zake sizo hizo za Dada,ni mtu ana heshima zake na anajitambua kashamaliza ujana yupo umri wa kukaribia kustaafu sio wa kuhangaika na binti wa miaka 20,japo wapo wazee wa hovyo ila sio huyu mpaka wanasema nimemroga [emoji16][emoji16][emoji16]wapo wadada walokuwa wakijilengesha anakuja mwambie mdada wako awe na nidhamu aniletea pigo sio mie namuona kama mwananagu (alikuwa aniambia tuwajali muonekano so akawa anawapa pesa za saloon mavazi lotion nje mshahara wapo walohisi baba anahonga anawataka)ndo akawa analalamika kuna mmoja sijui alipata wapi namba akawa anapiga simu hazieleweki shida zake anamwambia baba mie sijui mpaka kuna siku a kaniambia Dada umemleta wewe naomba apitie kwako wewe ndo uniambie [emoji16]na ubaya mume wangu tunafanya kazi pamoja tupo wote 24/7 [emoji16]kama kuchepuka na nafasi kubwa ya kuchepuka kuliko yeye, mpaka husema wife ujue wewe mtu wa Kigoma au umeniroga kweli mbona sitamani madem wa nje na pisi kali zinajileta [emoji16][emoji1787]
Sawa mwaya ila me wangu mzee ila siwezi karibisha wanawake wasiojiheshimu wala kujali hapa mjini wazoee home kwangu.mtu alazimishe kwenda mtaani kuuza bar hata akili yake si unaona iko vipi?? Sinaga dharau ila akili ninazo kwakweli urafiki wa hivo big noo
 
Sawa mwaya ila me wangu mzee ila siwezi karibisha wanawake wasiojiheshimu wala kujali hapa mjini wazoee home kwangu.mtu alazimishe kwenda mtaani kuuza bar hata akili yake si unaona iko vipi?? Sinaga dharau ila akili ninazo kwakweli urafiki wa hivo big noo
Kwa mazoea hakuna huwa ikitokea kapita mitaa ya home basi anasalimia dakika 5 kaondoka kusema nimwambie marufuku usije nisalimia siwezi kwa kweli, na vile mwenyewe anasema alijua ningemrudisha kwao au nisimpe pesa ya mshahara kwakua nimetumia gharama kumleta Dar.
 
Back
Top Bottom